Mchungaji atambulisha kimwana 5 months bada ya kufiwa na mkewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji atambulisha kimwana 5 months bada ya kufiwa na mkewe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 17, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,789
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa ni sherishori pale mchungaji wa kanisa la calvari la urafiki ambae aliamua kumtambulisha kifaa chake kipya baada ya kufiwa na mkewe miezi mitano iliopita,...habari zaidi zinasema mtumishi huyo wa bwana aliwaliza watu machozi pale alipowanunulia watoto 3 wa marehemu suti na kuwapa mataji 3 wamvike akiwa anamtambulisha kanisani...hakika wengi tulishikwa na mshangao maan achanzo halisi cha mkewe kufa kinajulikana na inasemekana alikuwa aki walk na kimwana kimoja kabla ya bwana kumtwaa mama mchungaji
  na baya zaidi mtoto mkubwa wa mchungaji alikuwa akijua shida na maneno waliokuwa wakitupiana mama na babake kuhusu kimwana hicho,sasa basi alipofika kumvisha shada akusita kutoa ukunga kumkumbuka mamake na hapo ndipo waumini walipoanza kutoa machozi,...anyway ni kweli ana haki ya kuwa na mwingine kama mchungaji ni mapema kuonyesha hivi ,wengi wataishia na maswali yasiyo na majibu,...namtakia kifaa kipya yaani (mama mchungaji mtarajiwa) maisha mema
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Sasa kama mnaona kuna tatizo kwa nini amumtoi huyo mchungaji hapo, biblia inasema katika kitabu cha yakobo, IMANI NA MATENDO, UWEZI KUSEMA UNA IMANI WAKATI MATENDO YAKO AYAFANANI
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,627
  Likes Received: 5,789
  Trophy Points: 280
  mpendwa huyu ndio mchungaji mkuu sio wale wainjilisti kumtoa mpaka wazee wa juu waseme.//...ni tatizo maana watu wanajiuliza iweje mapema hivi na kuna wakati mkewe kabla ajafariki alikuwa akilalama kwa wazee wa kanisa wamsaidie binti mmoja anamsumbua madhhabahu yake,...hakika kama ni huyu huyu ndie aliearibu ndoa ya huyu mama mungu atashuka kabla awajaoana naamini hilo
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,122
  Likes Received: 24,238
  Trophy Points: 280
  Mi ndio maana najifungiaga chumbani kwangu najisalia zangu kivyangu! Na ndio maana waifu naye amekula ban la kushiriki kwenye vikundi vya kanisani! Wizi mtupu!
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Inabidi wewe na waumini wenzako wa hapo Calvari ubungo mtoe shukrani zenu kwa mungu kwa kupata mchungaji mwenye kuichukia zinaa kiasi hicho, miezi mitano ingetosha kabisa kwake kuanza kuwarukia mabinti au waimba kwaya lakini kachagua kuishi maisha ya usafi na kuicha zinaa. Wapo watu wanafiki wachache wanaojifanya hawawezi kuoa baada ya wake zao kufariki lakini huishia kufanya mambo ya ajabu wengine hutembea hata na wafanyakazi wao wa ndani au watoto wa ndugu zao wanao ishi nao. Ni mpango wa mungu mkewe kufariki lakini pia ni mpango wa mungu mtumishi wake aishi maisha ya amani..halleluyyahh
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,122
  Likes Received: 24,238
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Hilo kanisa lenu kiboko! Siwezi kuja kusali hapo hata kwa mtutu wa bunduki. Hata avatar yako ni shahidi yangu!
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kazi ipo mwaka huu
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,125
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Mama Mia! matumizi ya nukta ni muhimu sana, inakuwa ngumu kinoma kusoma bila hilo.

  Nadhani kanisa linaruhusu kuoa tena baada ya mke kufariki, nadhani kama nyie ni wakristo wazuri mnatakiwa kuacha kumhukumu huyu mzee, na "kujua" chanzo cha kifo cha mkewe.
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mmmh
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,404
  Trophy Points: 280
  Bora ajitulize kwa kimwana kipya.
  Kwani inatakiwa upite muda gani ndio aoe tena?
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Ushauri mzuri sana huu, zaidi memba wengine unawagusa vilevile!
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sasa kuna tatizo gani na hilo?
  au unamlaumu KWA KUFANYA MAMBO YAKE WAZIWAZI?maanake wajane wengi tunawajua huwa hawamalizi hata wiki mnapishana nao tu kwenye vyumba vya gesti
   
 13. p

  prosperity93 Member

  #13
  Dec 17, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mama mia hiii habari kama imekuchanganya kidogo, au nafasi hiyo uliipenda ila ukaikosa. Avatar yako inaonyesha kuwa huneni kwa lugha ( speaking in tongues). Kwani mwanaume anatakiwa akae muda gani ndipo aoe kama amefiwa na mume wake? kwa uzoefu wangu mdogo katika maisha au ndoa naona ni rahisi mwanamke kuishi bila sex na sio mwanaume. Mwanaume eliyezoea sex akikosa anaweza kufa haraka au kuwa restless. be blessed my mama mia. i love uuu sana

  Ameeeniii
   
 14. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Usihukumu!
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Utata mkubwa.Habari yenyewe imekaa kiumbeambea.Sasa kuna tatizo gani akioa baada ya miezi 5?Na wewe ni muumini wa kanisa hilo? unaonekana una ajenda ya siri.
   
 16. GP

  GP JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  uko sawa mkuu,
  kuna siku pale kwa mtitu si nikamuona maza mmoja wa kitaa mumewe hata miezi miwili haikuisha
  yuko kaunta tena serengeti boy anazuia mzigo, nikamwakia akachuna eti anasalimia 'MAMBO!!', asee nilishangaa kinoma.
   
Loading...