Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,807
- 34,193
Mchungaji amchinja mwanae akidai amaoteshwa kumtoa sadaka.
maisha yanavyozidi kuwa magumu watz wanazidi kuwa vichaaa juz kati kuna mwanamke, tunakulaga maandazi yake alikaa na maiti ya mwanae siku 4 akiamini amelala ataamka huyu naye eti sadaka mwangalie tu alivyo utafahamu ana matatizo kisaikolojia.. hata huyu wa maandazi alikuwa mlokole jamani yaani mtu anakwama anakimbilia kwenye makanisa ya kiroho akiamini na pia akihadaiwa na hawa mitume feki mambo kadha wa kadha , yasiponyooka hahaha anapata frustration anakuwa na kakichaa fulani hivi.. we waangalie tu wanaojiita walokole akili zao karibia wote fyatu wananunia watu na kujiona wao wako sahihi.mfyuuuuuuuuuuuuuuuuView attachment 337829
Mchungaji amchinja mwanae akidai amaoteshwa kumtoa sadaka.
weDuuh, bila unafiki, nyama ya dogo imenona.
Aaah tupite tu mwanawaneHaya ndiyo yanapigwa marufuku kwenye uandishi..kichwa cha Habari hakisadifu cha ndani..."mchungaji AMCHINJA MWANAE" maana yake tayari mtoto kachinjwa lakini kiuhalisi hajachinjwa ila alielekea...kuua na kudhamiria kuua hayafanani, killing and attempting killing hayafanani nadhani kulikuwa na haja ya kuchunguza kichwa cha Habari... pia Habari haijakamilika kwani wachungaji wapo wengi hata wanaochunga mifugo kama mbuzi, ng'ombe, kondoo n.k
-mchungaji wa dhehebu gani?
-tukio limetokea wapi, lini na muda gani?
-thumuni la mhusika ni lipi na ilikuwaje mpaka tukio likafeli as mashuhuda wanasemaje?
-mshtakiwa anasemaje na anashikiliwa na polisi kituo gani na wataalamu wa mambo wamefafanua vipi?
Otherwise hii story haina mashiko
Wewe ni mdini kama Faizafoxy ,habari kama hizi unashangilia sana. Mchungaji wa wapi, imetokea lini, etc??? habari haina kichwa wala miguu, ondoa ujinga wako hapa.
We nawe unapoteza muda wako kumlaumu mtu ambae hajapitia jounalisim na hata elimu yake huijui,Haya ndiyo yanapigwa marufuku kwenye uandishi..kichwa cha Habari hakisadifu cha ndani..."mchungaji AMCHINJA MWANAE" maana yake tayari mtoto kachinjwa lakini kiuhalisi hajachinjwa ila alielekea...kuua na kudhamiria kuua hayafanani, killing and attempting killing hayafanani nadhani kulikuwa na haja ya kuchunguza kichwa cha Habari... pia Habari haijakamilika kwani wachungaji wapo wengi hata wanaochunga mifugo kama mbuzi, ng'ombe, kondoo n.k
-mchungaji wa dhehebu gani?
-tukio limetokea wapi, lini na muda gani?
-thumuni la mhusika ni lipi na ilikuwaje mpaka tukio likafeli as mashuhuda wanasemaje?
-mshtakiwa anasemaje na anashikiliwa na polisi kituo gani na wataalamu wa mambo wamefafanua vipi?
Otherwise hii story haina mashiko