Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,446
Ukitaka kuwa kipenzi cha Mwenyezi MUNGU,Tubu na utii amri zake na si vinginevyo.Kwani tulikuwa tunabishana?
Unachokisikia saivi moyoni mwako ni conviction ya Roho Mtakatifu. Usipuuze, Bwana Yesu anatuwazia sote mambo ya amani, sote tumetenda dhambi na kupungukiwa utukufu.
Bwana Yesu alikuja duniani, akateswa, akauwawa msalabani. Kwa kifo chake BWANA sisi tumepona. Tunahitaji kutubu na kumkabidhi mioyo yetu iliyojaa giza ili aifanye kuwa nuru. Na ndipo kwa mapenzi yake tutakapokombolewa na kurithi uzima wa milele, Mungu Mwenyezi aturehemu sote.
Good morning.