mchumu mchumu mwahhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!1111111111

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,793
5,372
Beyonce-Sunglasses-Snapshot.jpg

nyc weekend 2 all of you good peoplez
 
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss:
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss:
:A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss::A S kiss:
 
avatar 5.JPG avatar8127_2.JPG FL Are we thinking the same or the opposite direction? Unaonekana unathink kwa uchungu sana GT. Interesting though.
 
hahahaha nimecheka na wala sikuwa na wazo kama mie na wewe tunaumiza vichwa
hali ngumu ya maisha ,mfumuko wa bei,Mishahara haipandi,Maisha bora kwa mtanzania ni kitendawili kwa nn nisiwaze Mfamaji

We acha tu .Maana hesabu yangu ya 8X 4 tu inanifanya nipinde shauri ya hayo uliyoyataja. Nafikiri jinsi mamsapu atakavyonuna jioni nitakaporudi na unga wa chaki badala ya sembe. Kaaazi kweli kweli .
 
gud moning festiledi wa kwanza.

tunapenda kutangazia kuwa tumeanzisha biashara ya kuchimba makaburi , kwa wale watakaokufa kipindi hiki cha krismasi watauziwa makaburi kwa half price. na memba wafuatao tayari makaburi yao yameshalipiwa na serikali , aspirin, teamo,nguli, preta a.k.a miss korea bila kumsahau mwanzilishi wa sredi hili.

beki to ze topik. no komenti

posted via bluetooth
 
2 u 2 FL1

She is cuttieeeeeeeeeeeeeeeee!:A S-confused1:

Type hii ukikutana nayo lazima ATM yako ifilisike . Kuacha huwezi, huku unadondosha za ukweli ili asichukuliwe na mapedeshee, Unaishia bankrupt, naye anamove to another ATM Loh.
 
gud moning festiledi wa kwanza.

tunapenda kutangazia kuwa tumeanzisha biashara ya kuchimba makaburi , kwa wale watakaokufa kipindi hiki cha krismasi watauziwa makaburi kwa half price. na memba wafuatao tayari makaburi yao yameshalipiwa na serikali , aspirin, teamo,nguli, preta a.k.a miss korea bila kumsahau mwanzilishi wa sredi hili.

beki to ze topik. no komenti

posted via bluetooth

mie nilijua wewe ndo umetangulia mbele za haki.
No mawasiliano ,no miscall hivi ulikuwa wapi ? wajua lakini nimekumiss sana Hivi unatambua hili???????????????????:redfaces:
 
beauty-and-the-geek1.jpg

jamani napendekeza mzivae zikiwa ndani ya suruali kwa style hii ufungue ndio uvae
tumekwisha
 
mie nilijua wewe ndo umetangulia mbele za haki.
No mawasiliano ,no miscall hivi ulikuwa wapi ? wajua lakini nimekumiss sana Hivi unatambua hili???????????????????:redfaces:
hehehe nilikumiso pia , niko huku shoki slovakia huwezi kuingia jf mpaka upewe kibali na govementi ya serikali yao, nilikubeep ikapokea njemba ya kiume ikabidi nijigeuze voice mail kuepuka intavyu isio na ulazima eheehhe naona vijana wa manzese wameiba mpaka chatroom la JF.

posted via bluetooth
 
tutakwisha jamani kwa mtaji huu wazuri kila siku wanazaliwa awaishi hiko kisima cha wazuri kikowapi tukiwekee mifuniko wasitumaliz aaaah nnooo wasiiwamalize
 
gud moning festiledi wa kwanza.

tunapenda kutangazia kuwa tumeanzisha biashara ya kuchimba makaburi , kwa wale watakaokufa kipindi hiki cha krismasi watauziwa makaburi kwa half price. na memba wafuatao tayari makaburi yao yameshalipiwa na serikali , aspirin, teamo,nguli, preta a.k.a miss korea bila kumsahau mwanzilishi wa sredi hili.

beki to ze topik. no komenti

posted via bluetooth

Ha ha ha ha Cloroquine bora umerudi kuna member ana Malaria Sugu na kichaa naomba ukamtibu tafadhali
 
<TABLE class=body id=body><TBODY><TR><TD class=lt style="WIDTH: 320px">
spacer.gif

</TD></TR></TBODY></TABLE>
<TABLE class=body id=body><TBODY><TR><TD class=lt style="WIDTH: 320px">
spacer.gif
pure-beauty_~k0518207.jpg

</TD></TR></TBODY></TABLE>

PAA378000001.jpg

mmh miguu mingine utasema klorokwini/aspirni/quinine sijui
Metakephin ama malaria sugu yote ni baraka za bwana lakini
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom