Mchumia tumbo: Ilikuwa ni hoja ndani ya Mwananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchumia tumbo: Ilikuwa ni hoja ndani ya Mwananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAMBOTA, Jun 9, 2011.

 1. K

  KAMBOTA Senior Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Leo nilukuwa natazama gazeti la Mwananchi la mwaka 2006 sasa nikakutana na safu inayokwenda kwa jina la "MCHUMIA TUMBO" iliyokuwa inaandikwa na Silyvester Qorro nakumbuka huyu Mr Qorro aliwahi pia kunifundisha somo la civics form three pale Visiga seminary wakati nikiwa O level sasa huyu mzee sijui yuko wapi? halafu ile safu ya MCHUMIA TUMBO mbona haipo tena siku hizi? kwa maana ni moja kati ya safu zilizonivutia sana kuingia kwenye tasnia ya uandishi wa habari za uchambuzi/analysis
   
Loading...