Mchumba wangu katekwa na binti wa kichaga naomba maombi yenu!!!!!!!!!

akubali tu keshachukuliwa,the earlier she accept this the better,eti amechukuliwa mchumba kwani huyo mchumba yeye ni nyanya sokoni,zinabebwa tu?????? mwambie a move on asiexpect miracles....mungu hajamuandikia huyo...akazane kuomba aonyeshwe wa kufanana naye.

Yaani watu wengine bwana....keshachukuliwa atulie tu,unless alikuwa anauhusiano na teenager asiyekuwa na uwezo wa kuamua au kutokujua atakacho....mwanaume kaona viwango kwa binti wa kichagga kaweka makazi,yeye azidi ung'ang'anizi....lol:lol:
 
Napata uvivu hata wa kumshauri kwani ni kama kazi bure, ushauri hautamfikia mlengwa
 
Mkianza kumuombea huyo juu jamani msiache kumuombea huyu binti ameomba maombi yenu anaitwa rahel anasoma hedaru sec baba na mamake wamefariki jana kwa ajali wakiwa wametoka kumuacha shule amezika leo...nimeomba sana mungu ampe nguvu na uvumilivu jamani ni ngumu kuzika wazazi wote wakati mmoja......

Ukiwa na maombi tune 99.2 usiogope utaji ama kuulizwa jina tunachukua shida zako tunakuombea na kuomba wana jf wakuewek mikononi mwa mungu

kila siku na kipindi muhimu sana sana pengine unaweza funguka kupitia watu wengine ukakuta kumbe shida yako ndogo sana na unaweza kuisolve kirahisi
Pole zake nyingi Mungu azidi kumfariji na kumpa nguvu katika kipindi hiki kigumu. Yupo nasi katika sala
 
Huwa na penda sana hivi vipindi. Je hiki ni radio station inaitwaje? Ni ya Dar au?

Huyo dada wa kwanza yaani acha tu anahitaji Mungu tu ndie awezaye yote kama wake atarudi kama sio wake tena basi imetoka hiyo

Wazazi wa binti wa hedaru sec may they R.I.P.
 
Mkianza kumuombea huyo juu jamani msiache kumuombea huyu binti ameomba maombi yenu anaitwa rahel anasoma hedaru sec baba na mamake wamefariki jana kwa ajali wakiwa wametoka kumuacha shule amezika leo...nimeomba sana mungu ampe nguvu na uvumilivu jamani ni ngumu kuzika wazazi wote wakati mmoja......

Ukiwa na maombi tune 99.2 usiogope utaji ama kuulizwa jina tunachukua shida zako tunakuombea na kuomba wana jf wakuewek mikononi mwa mungu

kila siku na kipindi muhimu sana sana pengine unaweza funguka kupitia watu wengine ukakuta kumbe shida yako ndogo sana na unaweza kuisolve kirahisi

M/Mungu ampe faraja/amani katika kipindi hiki kigumu
roho za marehemu zipate rehema kwa Mungu- Amina
 
Kumbe humu jei efu wachaga ni wengi eh? Hapo juu wakumuombea ni huyo aliefiwa na wazazi Mungu amtie nguvu. Huyo mwingine a 'geti e laif'
 
Atakaa sawa tu, si wanasema sie magogo?? sasa let her watch the movie...lol....hatutanii siku hizi kyekue!!

Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe,wanatuandama sn tena kwa kashfa kibao ila cku zote naamin tuna cha ziada mabint wa kichaga ndio maana haipiti wiki bila kuanzishiwa uzi!chezea ce mtalala hoi atiii!mlijua la uhodari wa kuisaka pesa na kuitumia na ndio mjue hata kwenye mapnz tunatisha na kuwaachia vilio km hivo,aombe mungu apate alie wake!
 
pole yake huyo bint,lakini sidhani kama huyu mwanamme ana stahili hayo yote,nakubaliana na yeye sio rahisi moyo utauma sababu bado hajajitayarisha kuachana nae lakini lisobudi hutendwa,chamsingi asimulize wala asimpigie simu hata kama roho inauma vp, atulie tuu..kama wake atarudi....
 
mmh piddy ..nilivyona tu jina nikajua na neno wachagga lipo...
magogo, wakatili, wapenda pesa, wasio na utu , wababe , wauwaji wame .... tokalini tukapedwa mpka cha kukimbia na mchumba..lol
RIP wazazi wa Bint hedaru
 
Yaan huu mwaka mlivyoanza na spid kuhusu wachaga cjui hadi dec.tutakua ktk hali gani....coming back to the topic 'bitter pills are hard to swallow'!!
 
hawa tunakwenda nao sawa tu mpenzi, wataelewa tu!

kyekuuuuu msharudi aiseeeeeeeee ndiooooo maaaaaaaanaaa tangu juzi foleeeeeniiiiiiii zimeanza nkajiulza vipi mapema usiku lizy akaishtua network kule imefikaje kumbe mwomuuyaaaa aisee karibu bana
okola mae karibu se
 
mmh piddy ..nilivyona tu jina nikajua na neno wachagga lipo...
Magogo, wakatili, wapenda pesa, wasio na utu , wababe , wauwaji wame .... Tokalini tukapedwa mpka cha kukimbia na mchumba..lol
rip wazazi wa bint hedaru

shalis ninyi ni shemeji zangu mngekuwa amna maana nisingebeba mbege kupeleka mamndeni woouhhh mkeri necha bana ulaambe kabsa alafuuuu leeeeeeeeeeeeeeeeee koingiaaaaaaaa sita ko sitaaaaaaa uwiiiiiiii muichi kindu kila ma washacha wo bukoba waichi kindu cha inyo
 
huwa na penda sana hivi vipindi. Je hiki ni radio station inaitwaje? Ni ya dar au?

Huyo dada wa kwanza yaani acha tu anahitaji mungu tu ndie awezaye yote kama wake atarudi kama sio wake tena basi imetoka hiyo

wazazi wa binti wa hedaru sec may they r.i.p.

kinaitwa faraja time
kiko 99.2 fm
kuanzia saa nne mpaka sita usiku then sitakamili tunaanza maombi kamili ya dk kumi mwenye kulala analala
karibu dear ntakuwa naleta maombi ya watu wenye kuwa na moyo wa kuombeana ni wakati wa kufarijiana na kutiana moyo
 
Back
Top Bottom