Mchumba wangu kanisaliti!! Niko kwenye maumivu makali naombeni ushauri

Tatizo la watu wa mikoani hua ni washamba kwa mademu, Huwezi kutaka kumweka ndani mbulu, kuna makabila ukioa hao hata wadogo zako watakula mzigo..
 
FUNZO KUTOKA KWANGU!
USINIAMINI NIKIKULAZIMISHA UNIONE MUAMINIFU!
hakuna wakati nitakupiga kama wakati I am innocent.
na hakuna wakati ninakuwa mwaminifu kama wakati niko naughty.
 
Tatizo la watu wa mikoani hua ni washamba kwa mademu, Huwezi kutaka kumweka ndani mbulu, kuna makabila ukioa hao hata wadogo zako watakula mzigo..
Nimesoma kama namsikiliza. Eti nikamwelekeza kabisa kuhusu mbinu za wanaume wenye tamaa, nikamuuliza hujanisaliti akajibu ndiyo, nikamuuliza unaweza kunipa simu nikagie chochote, ,nikamwambia nipe simu!
ahahhahahahhah dah!
Wallahi
 
ivi inakuwagaje watu wenye upendo zaidi kwa wenza wao ua wanasalitiwa sana?
pole sana mkuu jipe moyo na usonge mbele maisha ni lazima yaendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah ndivyo ilivyo nadhani ni asili ya binadamu kutumia trust ya mtu kufanya mambo ya gizani. Mtu anaekujua vizuri ni rahisi sana kukufanyia ushenzi tofauti na mtu ambaye hujui amekuweka fungu gani.
 
Huyo ulimkosea kuanzia mwanzo. Ulimuendea kistaarabu mno na ukawa mpole mno. Dalili mojawapo ni kukaa mwaka bila papuchi...

Wanawake hawapendi nice guys mkuu. Hata kama ni muoaji, be a man. Kuwa na misimamo. Usifuate matakwa yake muda wote, be a priority to yourself.

Muendeshe. Demand utmost respect. Usionyeshe kumuamini. Onyesha kuwa una options na sio kwamba yeye ndio kila kitu kwako. Mwambie kuwa she is highly replaceable hivyo akijiskia at any time anaweza kuondoka.

Mmiliki, lakini be confident. Usimfuatilie mawasiliano yake na nyendo zake. Na ukigundua kitu kwenye simu yake, usimwambie. Basically ingekuwa mahakamani tungesema whatever you find in her phone is inadmissible evidence.

Hakuna principle moja kwamba ukimpa mwanamke kitu flani atatulia. No man knows what women want. Neither do themselves. Neither does God, hata akasema tuishi nao kwa akili.

Hizo principles nilizokupa zitakukinga dhidi ya upuuzi wa hawa viumbe in the future. Your sanity is more important than sex and affection.

Huyo hata ukimsamehe, nakuasi usirudiane naye. Ameshakumark weakness yako. Alianza kukupush limits zako kidogo kidogo na ameshazisogeza sana. Hakufai tena.

Kila mtu ana namna yake ya kudeal na heartbreak. Do what a nigga's got to do.

Sent using Jamii Forums mobile app
The best analysis & advice so far, nadhani muhusika umesoma kwa makini hapa.
 
Asante sanaa Kaka, baada ya kugundua analia tu hata kazini haendi na anaomba msamaha sanaa kupitia dada ake

Sent using Jamii Forums mobile app
Anazuga tuu huyo piga chini yan kashajiachia huko kaliwa then sahv ndo anajutia hebu fikiria upande wa pili usingegundua km anachepuka we unahisi angekuja kujutia lini kuwa anachofanya sio sahihi?? Ukipata jibu Fanya maamuzi ya kiume usiendeshwe na hisia ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana naye Mara moja huyo , sahv atakulilia sana sio kwa sababu anakupenda , hapo anataka uhakika wa kuolewa tuu ,pengine kaona katika michepuko yake ww ndo una elekeo wa kuoa , angalia usije ukamtimizia ndoto zake za kuolewa ,then ukaja kupata maumivu zaidi ya hapa ,mkuu piga chini huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza pole sana mkuu, kosa kubwa ulilolifanya nikumuonyesha wazi kuwa unampenda sana! Mwanamke akishajua unambembeleza sana atakudharau tu.
Mwanamke hatakiwi akuelewe ww n mtu wa aina gani. Kwa kuwa ushahd kuhusu usaliti wake unao bas fanya kumpiga chini kwa mda.
Muache had akuanze kukuomba msamaha na usimsamehe kirahisi hakikisha anakuhangaikia siku kazaa.
Ukishaona kweli amejirudi bs msamehe ila weka masharti siku akijichanganya tena kufanya upuuzi wake hutomsamehe.
Pia jitahd usiwe unaanza kumtafta acha awe anakutafta ww kwenye simu na uwe unaongea nae mambo ya msingi tu na kwa mda mchache siyo unaongea na mwanamke zaidi ya saa1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasoma chuo gan
Mana unaongea kama ndo dem mwenyewe
Nilikuwa nae ila alikuwa na jamaa anaemsomesha
Alipogundua alimind akanipigia sema nkamtetea dem
Ni mmbulu ushungi mda wote anashep mzr na mref cheupee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom