maringeni
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,198
- 3,888
Huyo sio mchumba ila rafiki tu. Mahari umelipa? Pete mbele ya familia tayari?
Acha kuumia bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuumia bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrudie mkuu ameshatambua kosa lake ndio maana anakuomba msamaha kosa mojs haliachi mkeMpaka sasa ananipigia sanaaa simu, sms nyingii sanaa ananitumia, dada yake mmoja kanipigia sana simu kumuombea msamaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma kama namsikiliza. Eti nikamwelekeza kabisa kuhusu mbinu za wanaume wenye tamaa, nikamuuliza hujanisaliti akajibu ndiyo, nikamuuliza unaweza kunipa simu nikagie chochote, ,nikamwambia nipe simu!Tatizo la watu wa mikoani hua ni washamba kwa mademu, Huwezi kutaka kumweka ndani mbulu, kuna makabila ukioa hao hata wadogo zako watakula mzigo..
Hahah ndivyo ilivyo nadhani ni asili ya binadamu kutumia trust ya mtu kufanya mambo ya gizani. Mtu anaekujua vizuri ni rahisi sana kukufanyia ushenzi tofauti na mtu ambaye hujui amekuweka fungu gani.ivi inakuwagaje watu wenye upendo zaidi kwa wenza wao ua wanasalitiwa sana?
pole sana mkuu jipe moyo na usonge mbele maisha ni lazima yaendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaumiza sana lakini.Hahah ndivyo ilivyo nadhani ni asili ya binadamu kutumia trust ya mtu kufanya mambo ya gizani. Mtu anaekujua vizuri ni rahisi sana kukufanyia ushenzi tofauti na mtu ambaye hujui amekuweka fungu gani.
Kwa kweli it takes a lot kwa wapenzi kuwa waaminifu sikuhizi. Sijui tunakwama wapi
The best analysis & advice so far, nadhani muhusika umesoma kwa makini hapa.Huyo ulimkosea kuanzia mwanzo. Ulimuendea kistaarabu mno na ukawa mpole mno. Dalili mojawapo ni kukaa mwaka bila papuchi...
Wanawake hawapendi nice guys mkuu. Hata kama ni muoaji, be a man. Kuwa na misimamo. Usifuate matakwa yake muda wote, be a priority to yourself.
Muendeshe. Demand utmost respect. Usionyeshe kumuamini. Onyesha kuwa una options na sio kwamba yeye ndio kila kitu kwako. Mwambie kuwa she is highly replaceable hivyo akijiskia at any time anaweza kuondoka.
Mmiliki, lakini be confident. Usimfuatilie mawasiliano yake na nyendo zake. Na ukigundua kitu kwenye simu yake, usimwambie. Basically ingekuwa mahakamani tungesema whatever you find in her phone is inadmissible evidence.
Hakuna principle moja kwamba ukimpa mwanamke kitu flani atatulia. No man knows what women want. Neither do themselves. Neither does God, hata akasema tuishi nao kwa akili.
Hizo principles nilizokupa zitakukinga dhidi ya upuuzi wa hawa viumbe in the future. Your sanity is more important than sex and affection.
Huyo hata ukimsamehe, nakuasi usirudiane naye. Ameshakumark weakness yako. Alianza kukupush limits zako kidogo kidogo na ameshazisogeza sana. Hakufai tena.
Kila mtu ana namna yake ya kudeal na heartbreak. Do what a nigga's got to do.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana Sana.Simu mara 5 kwa siku
Hivi huwa inawezekana, ama huwa tunadanganyana tu humu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anazuga tuu huyo piga chini yan kashajiachia huko kaliwa then sahv ndo anajutia hebu fikiria upande wa pili usingegundua km anachepuka we unahisi angekuja kujutia lini kuwa anachofanya sio sahihi?? Ukipata jibu Fanya maamuzi ya kiume usiendeshwe na hisia ...Asante sanaa Kaka, baada ya kugundua analia tu hata kazini haendi na anaomba msamaha sanaa kupitia dada ake
Sent using Jamii Forums mobile app