Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

Nna mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari.

In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi ntalazimisha sana, ntakuja kupewa mchana na akila ndo balaa anakwambia subiri chakula kishuke unaweza kusubiri hata saa zima bado anasema chakula hakijashuka.

Kama ni usiku basi hadi utapitiwa na usingizi hujapewa jambo na pakikucha maybe alfajiri anasema haweza kunyanduana nifanye nini kwa hapo ushauri wenu.

Natanguliza shukrani.
Nenda hospitali mkuu
 
Kuna baadhi ya wanawake hawafurahii sex kabisa. Usikalili kua kila mwanamke anahitaji hiyo kunyanduliwa sijui kuandaliwa ni kupoteza muda kwa wengine. Nshawai kua na mtu kama huyo anasema hapendi sex kumbe huwa anaumia akisex so hata ufanye hayo manjonjo yeye anawaza maumivu utayomletea, mwisho anakupa kupunguza kelele tu.

Huyu jamaa akae aongee na huyo mchumba wake, labda ni mgonjwa au huenda hana hisia nae kabisa. Ama lah anaolewa labda kukwepa aibu tu ila hampendi jamaa, ama lah manzi ni msagaji yote yanawezekana. Utahangaika weee kumbe manzi anapenda manzi wenzie.
Mkuu hii Comment yako lazima imebeba moja ya sababu ya huyo demu kubana mbunye ..... Ukikutana na demu msagaji Yan Huwa hawa enjoy sex kabisa ...au demu ambaye hana hisia na ww lazima utaona vyenye ana respond ..
.
.kuhusu demu kuumia wakati ana sex mostly husababishwa na Mambo mawili

1) Hana hisia na ww
2) Msagaji
 
3) Magonjwa , kuna wanawake wana hayo magonjwa ya njia ya uzazi ambapo anaweza kusisimka kweli lakini ukiingiza anapata maumivu makali. So mtu kama huyo mwisho wa siku anakata tamaa na anaamini hamna raha ya kusex. Ukijichanganya ukawa nae basi ndio inakua kama ya mleta mada.
 
Kwa kifupi kuww bize na kazi sana rud nyumban mida ya saa3 usiku oga lala kesho asbh amka uende kazn fanya hvyoo kwa muda wa mwez mzima
Asipo badirika ..... Baas piga chini hyoo mahali kama ulitoa sadaka tafuta mwanamke anae jua thaman ya ndoa
 
Nna mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari.

In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi ntalazimisha sana, ntakuja kupewa mchana na akila ndo balaa anakwambia subiri chakula kishuke unaweza kusubiri hata saa zima bado anasema chakula hakijashuka.

Kama ni usiku basi hadi utapitiwa na usingizi hujapewa jambo na pakikucha maybe alfajiri anasema haweza kunyanduana nifanye nini kwa hapo ushauri wenu.

Natanguliza shukrani.
Mpe Cheo Mkuu.
 
Tafuta ela utapewa hadi tigo
 
Ipo hiviii... Nilijuana nae mwaka jana alikua akiishi mbezi Afrikana nikamshawishi , na yeye bila hiyana akanikubalia safi bila tatzo. Mimi ni muajiriwa kampuni fulani mjini mara nyingi saa 10 or 11 alfajiri huwa naenda kazini sasa ikawa anakuja mtaani naweza kumnyandua mara moja and alfajiri simnyandui wala nn coZ nahofia kumwamsha usngizini maybe atamaind.

Kama akija nilikua nanyandua mara moja bas nalala asubuh yeye akiamka anaenda mishemishe zake na mimi mishemishe zangu. Mwez wa 12 tukaelewana nipeleke barua kwao bila hiyana alikubali, nikapeleka bila tatzo. Majibu yalirud safi alhamdulillah nikakubaliwa na mahari ikapangwa kama 1.2M.

mwez wa 5 nilipeleka mahari kwao kama 700k nyingine deni ad leo na nikamuomba tuish kidogo kama maswala ya ndoa tukijipanga tutakamilisha. Sasa kwenye swala la kunyanduana nilizani maybe kwa sababu sjatoa mahari datz why ananifanyia hivyo kumbe na nikitoa atabadilika, kuumbe ni tofaut na matarajio yangu.

Naweza kuwa nna ugum kinomaaaa nikiomba game mara niambiwe tumbo linaniuma, au subiri baadae na nikiambiwa baadae ni baadae kweli i mean hata kukumbushia halumbushii, mda mwingine ntaambiwa subiri chakula kishuke ndo tutaduu hapo utasubir kama lisaa lizima na mwenzio wala hana habar na kama ni usiku kama ni usingizi utakuchukua bila kuduu.

Kingine asubuh na kijiubaridi cha Darisalam Hasani kichwa lazma asmame nikimshirikisha mwenzangu hatak in short skumbuki lini nilipewa asubuh na huyu duu. Ushauri hapo nifanye vipi napata tabu kinomaaaa.... unga huu uzi mkuu msaada
Tafuta hela kenge wee utapewa hadi jicho
 
Nna mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari.

In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi ntalazimisha sana, ntakuja kupewa mchana na akila ndo balaa anakwambia subiri chakula kishuke unaweza kusubiri hata saa zima bado anasema chakula hakijashuka.

Kama ni usiku basi hadi utapitiwa na usingizi hujapewa jambo na pakikucha maybe alfajiri anasema haweza kunyanduana nifanye nini kwa hapo ushauri wenu.

Natanguliza shukrani.
Huyo ni mchumba sio mkeo

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Nina mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari.

In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi ntalazimisha sana, ntakuja kupewa mchana na akila ndo balaa anakwambia subiri chakula kishuke unaweza kusubiri hata saa zima bado anasema chakula hakijashuka.

Kama ni usiku basi hadi utapitiwa na usingizi hujapewa jambo na pakikucha maybe alfajiri anasema haweza kunyanduana nifanye nini kwa hapo ushauri wenu.

Natanguliza shukrani.
Zaburi ya 23🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom