Mchumba wangu ana mimba halafu nipo mabovu mbaya nifanyaje jamanii

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Wakuu salama

Jamani Mimi nina mwanamke ambaye nlizaa nae mtoto wakati nipo Chuo pesa ilikuwepo mtoto sasa hivi ana miaka 5

Huyu mzazi mwenzangu alishaajiriwa na ana kipato kizuri ndo ananisaidia kulea

Mimi sijapata mchongo wa maana wa kuingiza pesa,so sikutaka nimzalishe tena hadi pale mambo yangu yatakapokaa sawa ili
niweze kumhudumia mtoto wangu kwa 100%

Sasa, hivi majuzi kanitembelea kajitegesha nimempa mimba nyingine ,kiukweli sijaridhika Mimi kumpa ile mimba sasa sijui nifanyaje kukabiliana na ili suala ,manake bado nna hali mbaya kiuchumi.

Ushauri wenu please.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom