Mchumba wake Nikki wa Pili huenda akawa CAG mpya. Tayari ametuma maombi

Ana miliki duka kumbe? Dah sijui niroge wapi namimi nikamate pisi Kali.
Dawa yake unaenda dukani kwake unanunua nguo zote hadi lipstick unakomba kila kitu halafu unabeba tu hata hujui unazipeleka wapi then we unachofanya unachukua namba yake tu. Unamwambia akileta mzigo mwingine akupigie.

Akileta Tena unafanya hivyo wallah tena huyo muimba muziki atamsahau.
 
Hahaha we chz kweli hahahaha

Ova
 
Back
Top Bottom