Hataki kusahaulika mjini maana angeanza upya si mchezo!Yaani miaka 8 mtu katoka anaikumbuka username na password ya Insta.
Mi kila nikibadirisha simu password za JF nishasahau inabidi nireset. Huyu demu ni kichwa.
Inaonyesha kabisa 2014 kurudi nyuma hukuwa unamiliki smartphoneSema kwani waliconfirm kama walikuwa wanadeti?
Nimeiona mdau mate yamenijaa hatariWazee wa thigh gap mpo?
Wewe sawa na demu langu la zamani linasahau password kila likipata simu mpya linafungua account mpya ukilisachi fb lina ma account kibaoYaani miaka 8 mtu katoka anaikumbuka username na password ya Insta.
Mi kila nikibadirisha simu password za JF nishasahau inabidi nireset. Huyu demu ni kichwa.
Sema kwani waliconfirm kama walikuwa wanadeti?
Unaweza kuta sio yeyeAna bahati wenzake hunyongwa kabisa
Huyu ndio wa kuoaWanawake Kama hao uwa Wana roho ngumu Sanaa.
ama kweli mtu akikataka kukutukana hakuchagulii tusi.Wewe sawa na demu langu la zamani linasahau password kila likipata simu mpya linafungua account mpya ukilisachi fb lina ma account kibao
Jasiri haachi asili
Angekua hizi zetu, za kukata mibuyu iliyoota kando ya barabara?!!!Duuh kachakaa na hapo alikuwa jela za weupee