Mchumba ninae taka kumuoa nimegundua anavuta bangi

Wadau naomben ushauri.....nimegundua kuwa mke wngu mtarajiwa anavuta bangi....nilikua sifahamu hapo mwanzo sababu alinificha....nimemfumania akivuta chumbani niliporudi toka kazin bila kumfahamisha.nipo dailema
Nawe vuta bangi ili ngoma iwe droo,ukisokota paka chapa shoka kuongeza stimu
 
Bangi ni mmea mzuri sana mimi CV yangu ya mke ninae mtaka lazima awe ana Puliza Jani ilo au walau Fegi
 
Chaaa kumbe Bangii? Yale mauno yalokushawish utake muoa hujuii kuwa yanachochewa na kamjanii? Umeshtuka kamaa vile kitu chaajabu? Me nkajua labda umemfuma na lidildo au anajivibretishaa

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Alipojifunzia kwanzaaa,,,,....!!!!!

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Comments utakazopata humu kuhusiana na demu wako kuvuta bangi hazitakidhi.Miaka kadhaa ya humu Jf imenifundisha kuwa wengi humu ni wavuta bangi na hawatakushauri kinyume na kile wanachopenda.Fuata moyo wako.Je, unadhani unaweza kuvumilia kuishi na mvuta bangi for the rest of your life?TAFAKARI,CHUKUA HATUA STAHIKI.
ahahah mkuu nimecheka sana
 
kwani kwake umependa nini....? tuanzie hapo kwanza maana BHANGI si lolote si chochote kwenye mahusiano....
 
Mi mwanamke akiwa mnywa pombe tu simwelewi!!

Mfano umemuoa....yeye ndiye atakua karibu na watoto ujue...sasa siku akiamua kugongea ganja na watoto utafanyaje mkuu??

Uamuzi ni wako ila huyo sio mke!!
very true mkuu ingawaje mm mwenyewe ni muonjaji lkn mwanamke mnywaji pombe sinaa aman nae coz nashuhudia wanavorubunika kirahis
sasa jamaa anaenda mbali mpaka kwa wavuta bangi
 
hahahahahahahahahahahah wa mjin huvutisha nanyupu weed sasa huyo kaamua kuinywa na K inavuta da ila mdada akilewa ulevi wowote analainika mpaka kucha yaani unajichangulia uanze kumtafunaje :)

wadada jaman siku moja moja muwe mnalewa

Nliwahi mpata mdada anachanja veve mbuzi mwanafunzi akiandasika sasa genye debe
 
ahahah mkuu nimecheka sana
Mkuu wewe fatilia nyuzi zinazohusu bangi humu.Watu wanacomment kwa bashasha na kuisifu kana kwamba ni kitu kizuri mno.Sasa unawezaje kuisifia bangi kama haujavuta na kutambua huo 'uzuri' wake?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Sema nae taratibu kama vipi mpeleke Rehab, otherwise, follow your heart bro

Sent from my IPHONE 10 using JamiiForums mobile app.
 
Tatizo liko wapi sasa?! Si kama pombe tu! Acha kuhamaki mwanaume, endelea kupiga mzigo, [HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG]
 
Wadau naomben ushauri.....nimegundua kuwa mke wngu mtarajiwa anavuta bangi....nilikua sifahamu hapo mwanzo sababu alinificha....nimemfumania akivuta chumbani niliporudi toka kazin bila kumfahamisha.nipo dailema
Daaa Safi tu na wewe kura kiba

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom