Kuna jamaa yangu ana mchumba wake tangu 2008 kijjn kwao. kipind hicho jamaa alikua A-level (f5). na wakati huo huyo mchumba wake (dem) alikua anadai kua yeye ni BIKRA (pure). kwa muda wote huo kuanzia 2008 had 2013 pindi jamaa akiomba mzigo ananyimwa eti dem hatak kuvunja ubikra wake. Sasa kamaliza chuo kaja nyumban kupumzika. ikabidi aombe mzigo akashangaa dem akamwambia twende nkakupe. tena dem ndo kamuonesha guest jamaa. jamaa akajua anaenda KUVUNJA BIKRA duh!! kumbe maskin dem ashagongwa muda mrefu na masela. Jamaa kaahirisha kuoa na kaondoka bila kuaga. JE kama ni wewe ungefanyaje???