Mchumba mtumba

faraday

Member
Nov 27, 2013
38
10
Kuna jamaa yangu ana mchumba wake tangu 2008 kijjn kwao. kipind hicho jamaa alikua A-level (f5). na wakati huo huyo mchumba wake (dem) alikua anadai kua yeye ni BIKRA (pure). kwa muda wote huo kuanzia 2008 had 2013 pindi jamaa akiomba mzigo ananyimwa eti dem hatak kuvunja ubikra wake. Sasa kamaliza chuo kaja nyumban kupumzika. ikabidi aombe mzigo akashangaa dem akamwambia twende nkakupe. tena dem ndo kamuonesha guest jamaa. jamaa akajua anaenda KUVUNJA BIKRA duh!! kumbe maskin dem ashagongwa muda mrefu na masela. Jamaa kaahirisha kuoa na kaondoka bila kuaga. JE kama ni wewe ungefanyaje???
 
mnhhhhhh kwa hiyo mdada kama sio bikira anaitwa 'mtumba'?

.........makubwa! hata mm nashangaa.... na wakaka used sijui wataitwaje.
humu jf kuna watu wanapenda sn kushusha hadhi za wadada, sijui tushawakosea nn.
 
Ndio mkuu, mtumba yan dem tayar ashatumika (kuliwa uroda)

mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu
AS IF O.M.B.O YAKO INA mlio ya chupa ya soda inayofunguka!
 
Psiiiiiiii...... Hahhaaaaa, tena na povu jingi kama koka iliotingishwa. Hahaaaaa
you made up my moment
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu
AS IF O.M.B.O YAKO INA mlio ya chupa ya soda inayofunguka!
 
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu
AS IF O.M.B.O YAKO INA mlio ya chupa ya soda inayofunguka!

hahahaaaaaaaaaaaa nimechekaje........
ka pozi la mirinda orange inapofunguliwa..........LOL
JF kweli raha wallahi...sijutii na sijawahi kujuta kujiunga hum
 
.........makubwa! hata mm nashangaa.... na wakaka used sijui wataitwaje.
humu jf kuna watu wanapenda sn kushusha hadhi za wadada, sijui tushawakosea nn.

tatizo nyie madada hua hamtak na wala hamuwez kuwatest wachumba zenu mpaka akina kaka ndo wawaanze kutest kama yaliyomo yamooo????
 
Mtoto anaamini kila kitu anachoambiwaga, na watu wazima nao?? Khaaaaa
Kuna jamaa yangu ana mchumba wake tangu 2008 kijjn kwao. kipind hicho jamaa alikua A-level (f5). na wakati huo huyo mchumba wake (dem) alikua anadai kua yeye ni BIKRA (pure). kwa muda wote huo kuanzia 2008 had 2013 pindi jamaa akiomba mzigo ananyimwa eti dem hatak kuvunja ubikra wake. Sasa kamaliza chuo kaja nyumban kupumzika. ikabidi aombe mzigo akashangaa dem akamwambia twende nkakupe. tena dem ndo kamuonesha guest jamaa. jamaa akajua anaenda KUVUNJA BIKRA duh!! kumbe maskin dem ashagongwa muda mrefu na masela. Jamaa kaahirisha kuoa na kaondoka bila kuaga. JE kama ni wewe ungefanyaje???
 
Je huu ni uungwana??.......la hasha huu si uungwana....
 
hahahaaaaaaaaaaaa nimechekaje........
ka pozi la mirinda orange inapofunguliwa..........LOL
JF kweli raha wallahi...sijutii na sijawahi kujuta kujiunga hum

enh manake yake si nzima basi ndo iwe inatoa mlio wa pepsi basi anapokuwa anavua pichu!
mbaaaaks!
 
Kuna jamaa yangu ana mchumba wake tangu 2008 kijjn kwao. kipind hicho jamaa alikua A-level (f5). na wakati huo huyo mchumba wake (dem) alikua anadai kua yeye ni BIKRA (pure). kwa muda wote huo kuanzia 2008 had 2013 pindi jamaa akiomba mzigo ananyimwa eti dem hatak kuvunja ubikra wake. Sasa kamaliza chuo kaja nyumban kupumzika. ikabidi aombe mzigo akashangaa dem akamwambia twende nkakupe. tena dem ndo kamuonesha guest jamaa. jamaa akajua anaenda KUVUNJA BIKRA duh!! kumbe maskin dem ashagongwa muda mrefu na masela. Jamaa kaahirisha kuoa na kaondoka bila kuaga. JE kama ni wewe ungefanyaje???

Hivi ubikira wanatakiwa wawe nao wadada tu? Wakaka hawapaswi kujitunza na kuwa bikira?

Kama yeye ni bikira basi amuache huyo mchumba atafute bikira mwenzie, ila kama hata yeye ni skrepa, ngoma drroooooooooo! abebe mzigo.
 
.........makubwa! hata mm nashangaa.... na wakaka used sijui wataitwaje.
humu jf kuna watu wanapenda sn kushusha hadhi za wadada, sijui tushawakosea nn.

Kwani ukishtumika na wanaume zaidi ya mmoja ukiitwa hivyo ni kushushwa ama ndo ukweli wenyewe?ama mnapenda kudanganywa kila siku?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom