Mchumba hajawahi kuulizia chochote kuhusu wazazi wangu

Mku tafuta wa hadhi yako .Huyo anakula pesa zako ndio mana hataki kujua familia yako.
 
Mh! Tulia mkuu usimuulize kitu wala usimwachw? Wasichana wengine hawependi kuosha kama wana shobo sana na ndoa anaweza kuwa nae anakupima. Wasichana wajinga ni wengi ila wenye akili wapo pia.
 
Huyo hajavutika nawe mkuu

Wengine hua tunashauku kuuliza maswali hayo mwanzoni tunapoanzana

Tunapenda kujua yote yahusuyo tunaempenda
 
Kwanza anakuona wewe kiherehere na unajipendekeza na halafu kuna mtu anamuonyesha text zako.
 
Hiyo ilinitokea..yeye Yuko mkoa mwingine nami mwingine ...ilipita miezi Kama 2 hajaniuliza kabila, dini,wazazi Wala kazi. Sikutaka kujipendelea kumweleza chochote .kitu Cha kushangaza tunaweza ongea masaa hata 3 usiku tusigusie hayo kabisa ..anaweza piga asubuhi kunijulia Hali kabla hajaenda kazini..Hajawahi niomba hata Senti..na wakati wa birthday yangu alitoa order ya keki ikaja Kama surprise....baada ya miezi Kama 3 ndio tukaelezana hayo yote....na kila akitoka out n kumeet na friends lazima anifahamishe na kila usiku lazima tuongee Sana...nilichogundua hapendi kunijudge interms kazi, life ,kabila etc kikubwa inaonekana anahitaji kuolewa na kuishi na mume...nilidadisi historia yake labda iliathiri maisha yake akanieleza alivishwa na Pete lakini alichana na huyo mchumba coz ya ulevi...kwahiyo wanawake Kama hao wapo na si kwamba wanakuwa hawana interest...msikariri kila mwanamke lazima atakuuliza kazi ,kabila etc wengine they ask you later

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huenda hilo sio kosa lake, huenda alishaadhiliwa kisaikolojia, huenda alishatengwa na familia yake au ndugu zake ndo sababu hata ndugu zako anakua hana imani nao, so plz be wise kwake inabidi ukae nae vzur umuulize huenda atakuelezea sababu ni nin.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom