raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 313
kwa niaba ya rafiki yangu naomba kuleta ombi hili kwa wadada wote
kwa yeyote ani-pm nitamuunganisha na jamaa!
ni serious na uwe tayari kwenda kupima
- jamaa ana miaka 29
- ni mfanyakazi
- mrefu wastani
- mweupe
- amehitimu chuo kikuu
- mkristo
- anaishi dar es salaam
kwa yeyote ani-pm nitamuunganisha na jamaa!
ni serious na uwe tayari kwenda kupima