Natafuta mchumba awe mwafrica mwenzangu na awe anaishi UK ili tuweze kuonana maana sitaweza long distance, alieko tayari tuwasiliane tuone tutafika wapi, mimi ni maji ya kunde, mrefu wa wastani, mwenye kipato cha wastani kutunza mke na maendeleo kidogo. Elimu sichagui ila asizidi 30 years maana ndio umri wangu