Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
Waheshimiwa,naomba mawazo yenu ktk hili.nina mchumba rasmi tangu mwaka 2008.nampenda na nadhani ananipenda pia.tunakusudia kuoana mwaka kesho.ila amenifanyia kitu ambacho natafakari nashindwa kupata jb.
Nimemnunulia simu tatu nzuri.sasa imetokea nikapoteza simu yangu, na kulazimika kuazima yake kwa muda.nilihitaji cm yenye internet,so nikamtafutia nokia ya tochi toleo jipya.ajabu alininyima hiyo cm na akakataa katakata kupokea kwa muda hiyo tochi.
Kitu hiki kimeniumiza na kunikera sana.nampenda bado.tafakari yangu ni ikiwa tabia hiyo haiwezi kuwa na madhara yoyote,mfano akiwa mke wangu? Mchango wenu wadau