Mchumba ananichanganya.

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Waheshimiwa,naomba mawazo yenu ktk hili.nina mchumba rasmi tangu mwaka 2008.nampenda na nadhani ananipenda pia.tunakusudia kuoana mwaka kesho.ila amenifanyia kitu ambacho natafakari nashindwa kupata jb.
Nimemnunulia simu tatu nzuri.sasa imetokea nikapoteza simu yangu, na kulazimika kuazima yake kwa muda.nilihitaji cm yenye internet,so nikamtafutia nokia ya tochi toleo jipya.ajabu alininyima hiyo cm na akakataa katakata kupokea kwa muda hiyo tochi.
Kitu hiki kimeniumiza na kunikera sana.nampenda bado.tafakari yangu ni ikiwa tabia hiyo haiwezi kuwa na madhara yoyote,mfano akiwa mke wangu? Mchango wenu wadau
 
hiyo tabia inakera lakini kwakuwa ulishampa ni mali yake. By z way kwanini wewe husitumie hicho kitochi?
 
Waheshimiwa,naomba mawazo yenu ktk hili.nina mchumba rasmi tangu mwaka 2008.nampenda na nadhani ananipenda pia.tunakusudia kuoana mwaka kesho.ila amenifanyia kitu ambacho natafakari nashindwa kupata jb.
Nimemnunulia simu tatu nzuri.sasa imetokea nikapoteza simu yangu, na kulazimika kuazima yake kwa muda.nilihitaji cm yenye internet,so nikamtafutia nokia ya tochi toleo jipya.ajabu alininyima hiyo cm na akakataa katakata kupokea kwa muda hiyo tochi.
Kitu hiki kimeniumiza na kunikera sana.nampenda bado.tafakari yangu ni ikiwa tabia hiyo haiwezi kuwa na madhara yoyote,mfano akiwa mke wangu? Mchango wenu wadau

We labda unasababu nyingine kwani yeye hataki kutumia mtandao? tumia kitochi chako mwenyewe.
 
Waheshimiwa,naomba mawazo yenu ktk hili.nina mchumba rasmi tangu mwaka 2008.nampenda na nadhani ananipenda pia.tunakusudia kuoana mwaka kesho.ila amenifanyia kitu ambacho natafakari nashindwa kupata jb.
Nimemnunulia simu tatu nzuri.sasa imetokea nikapoteza simu yangu, na kulazimika kuazima yake kwa muda.nilihitaji cm yenye internet,so nikamtafutia nokia ya tochi toleo jipya.ajabu alininyima hiyo cm na akakataa katakata kupokea kwa muda hiyo tochi.
Kitu hiki kimeniumiza na kunikera sana.nampenda bado.tafakari yangu ni ikiwa tabia hiyo haiwezi kuwa na madhara yoyote,mfano akiwa mke wangu? Mchango wenu wadau

Love is the ultimate outlaw. It just won't adhere to any
rules. The most any of us can do is sign on as its accomplice.
Instead of vowing to honor and obey, maybe we should swear to
aid and abet.
 
Huyo ni sistaduu. Halafu simu tatu za nini? Itafika wakati atakuumbua kutokana na maisha hayo ya kufikirika unayompa. Anapanda daladala? Jaribu kumrudisha katika maisha halisi. Ikishindikana fikiria tena upya kabla mwaka kesho haijafika
 
anafaa sana,...
ila mkioana andaa gari tatu,..na siku ikiishiwa sahau kama kuna mtu uli mnunulia gari so utaanza 1,2,1,2!

Natania tu mjomba,ila ni hali ya ubinadamu tu!
Labda alikuwa anatumia pia kwa ajili ya internet so ulivotaka kuchukua akaona uta mnyima raha zake.

Lakini pia,inawezekana hukumwambia kwa nini unataka yenye internet yawezekana angekwambia nae anashida nayo.

Kiukweli,mambo ya facebook yame addict wengi sana,,....kuna mtu akikosa facebook au jf kama mimi siku haijaenda vizuri so usimlaumu na hicho sio kigezo cha kusema kuwa hakupendi ,...don't dauti her kwa kitu kidogo kama hiko
 
Waheshimiwa,naomba mawazo yenu ktk hili.nina mchumba rasmi tangu mwaka 2008.nampenda na nadhani ananipenda pia.tunakusudia kuoana mwaka kesho.ila amenifanyia kitu ambacho natafakari nashindwa kupata jb.
Nimemnunulia simu tatu nzuri.sasa imetokea nikapoteza simu yangu, na kulazimika kuazima yake kwa muda.nilihitaji cm yenye internet,so nikamtafutia nokia ya tochi toleo jipya.ajabu alininyima hiyo cm na akakataa katakata kupokea kwa muda hiyo tochi.
Kitu hiki kimeniumiza na kunikera sana.nampenda bado.tafakari yangu ni ikiwa tabia hiyo haiwezi kuwa na madhara yoyote,mfano akiwa mke wangu? Mchango wenu wadau

Get out of life capsule! be yourself
 
Mtoto wa kike atembee na Nokia ya tochi ? hapa mjini ? we ulimpandisha mlima muache hukohuko juu tochi kaa nayo wewe ukitafuta nyingine. Hujasema kama anazo simu zote 3 ulizonunua au ni kwa muda tofauti?
 
Waheshimiwa,naomba mawazo yenu ktk hili.nina mchumba rasmi tangu mwaka 2008.nampenda na nadhani ananipenda pia.tunakusudia kuoana mwaka kesho.ila amenifanyia kitu ambacho natafakari nashindwa kupata jb.
Nimemnunulia simu tatu nzuri.sasa imetokea nikapoteza simu yangu, na kulazimika kuazima yake kwa muda.nilihitaji cm yenye internet,so nikamtafutia nokia ya tochi toleo jipya.ajabu alininyima hiyo cm na akakataa katakata kupokea kwa muda hiyo tochi.
Kitu hiki kimeniumiza na kunikera sana.nampenda bado.tafakari yangu ni ikiwa tabia hiyo haiwezi kuwa na madhara yoyote,mfano akiwa mke wangu? Mchango wenu wadau

Unadhani anakupenda....umemnunulia simu tatu.....simu uliyonunua unalazimika KUIAZIMA.............

Bora umekiri kuwa UNADHANI anakupenda. Fanya hivi. Chukua simu zako tatu, mchape vibao vitatu then mtimue. Huna MCHUMBA hapo.
 
doh!!wee mwenyewee umemzoesha,ulimpa wenyewe cm ya nokia then utake kuchukuaa,umepe ya touch,wee tembea na hiyo ya touch:embarrassed:
 
Sisi nduguzo tutanyimwa chakula mpaka tukome.
uchoyo na ubinafsi ni tabia mbaya sana
Waheshimiwa,naomba mawazo yenu ktk hili.nina mchumba rasmi tangu mwaka 2008.nampenda na nadhani ananipenda pia.tunakusudia kuoana mwaka kesho.ila amenifanyia kitu ambacho natafakari nashindwa kupata jb.
Nimemnunulia simu tatu nzuri.sasa imetokea nikapoteza simu yangu, na kulazimika kuazima yake kwa muda.nilihitaji cm yenye internet,so nikamtafutia nokia ya tochi toleo jipya.ajabu alininyima hiyo cm na akakataa katakata kupokea kwa muda hiyo tochi.
Kitu hiki kimeniumiza na kunikera sana.nampenda bado.tafakari yangu ni ikiwa tabia hiyo haiwezi kuwa na madhara yoyote,mfano akiwa mke wangu? Mchango wenu wadau
 
Unadhani anakupenda....umemnunulia simu tatu.....simu uliyonunua unalazimika KUIAZIMA.............

Bora umekiri kuwa UNADHANI anakupenda. Fanya hivi. Chukua simu zako tatu, mchape vibao vitatu then mtimue. Huna MCHUMBA hapo.
we asprin ndo ushauri gani huo?
 
Back
Top Bottom