Ni matumaini yangu kila mtu yuko poa.
Baada ya kukaa nikatafakari sana nimeona maisha ndo haya haya, wakati ndo huu. Hakuna sababu ya kusubiri sana.
Mimi ni kijana miaka 27.
Nina shahada ya kwanza, nilihitimu miaka mitatu iliyopita.
Ninaishi Dar es Salaam japo sio mzawa wa hapa.
Bado sina ajira maalum lakini napata kipato cha kujikimu.
Ni muislam.
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:
Umri chini ya 26.
Elimu, sio chini ya kidato cha nne.
Muislam na mcha Mungu.
Tabia iliyo njema.
Bila kusahau, awe mrefu au wasitani. Sihitaji kabisa Short.
Mwenye kujituma katika utafutaji (muajiriwa simuhitaji sana, labda kama ni mwalimu nitakufikiria).
Ikikuingia akilini ukajiona unafaa basi unakaribishwa PM.