Mchumba amebadilika na kuwa mlokole, sasa ni tabu tupu, bora kuoa mpagani

ANAWAKE WENGI WANAOJIITA WASHIKA DINI WANA ARIBUGUSANA NDOA NA MAISHA WAO WANAAMINI BIBLIA AMBAYO IKO SOCIAL SANA.
NA PILI INAITAJI MTU AIMALIZE NDO AANZE KU REFEE SASA MTU ANAVUBEBA VISA VYA AJABU MWANZO MWISHO .
PILI WANAKUWA KAMA NA MATATIZO YA AKILI.
NA MIND ME KILAKITU WANAONA NI AIBU.
WALOKOLE ACHENI HIYO PIA WAPO NA WAKRISTU WENGINE WAPO NA VIKUNDI VYA IMANI KALI. ACHENI NASEMA TENA HACHENI MISIMAMO.
ISHINI WEWE KAMA WEWE HAPA NDO WATU WANAJICHANGANYA USIIGE BIBLICAL COUNSELING.
ISHI KAMA WEWE MARK MY WORDS.
 
Bulaza unaelekea kufeli mda sio mrefu. Nakushauri kaa na huyo binti mwambie unataka kumuoa. Ameshabadilisha lifestyle ila cha kushangaza wewe bado uko kwenye maisha yako ya Misri wakati yeye anajitahidi kuisogelea Kanaani. Ukimtangazia ndoa huyo binti utajikuta unajipokelea mibaraka mingi sana kwa sababu kwanza mlikuwa wote Misri na ye ameshaonesha nia na dhamira halisi ya kubadilika. Angalizo la msingi, ukikubali kumuoa lazima ujipange kubadilisha maisha haya unayoishi sasa. Lazima uwe mtu wa church na mengineyo. Huyo binti mzuri wala usimuone boya.

Muache wajanja wamchukue halafu uone wanavyotambalia nyota. Utafeli huku unakuja kusoma hii post yangu unalia. Nisikilize mimi mzee Baba. Shauri yako.
asipokuelewa hapa basi tena
 
Safi; mpo vizuri na rafiki ako. Una miaka mingapi kwenye ndoa? (Samahani lakini)
Aaah,hapana ni rafiki yangu mmewe anahilo tatizo sasa niliona nijifanye mimi ili iwe rahis maana ngesema rafiki yangu bas watu wangeanza kuhoji kama unavoijua jf ila nilimpa majibu kama nilopewa make na mimi aliniomba ushauri
 
Hapo uliposema hujaomba unapewa,mtoto ni screamer,naughty n wild chiiii nimedinda hapa
 
Mkumbbushe wajibu wake yy kama mkep. Mwite cku moja huyo mchepuko home then nenda nae chumbani am sure huyo mlokole aliye mtawala atamtoka. Huko co kuokoka bali ni kulewa dini
 
Wokovu wa kinafiki sana huo hamna kitu hapo kwanza mwokovu gani sio bikra inaonekana bikra alishatolewa zamani sana mwambie amechelewa anamdhiaki mungu kama anataka aame hapo asubiri ndoa
 
Kama hapo ni kwako akienda kanisani muite fundi badilisha kitasa kisha utafute sehemu ukalale hata siku mbili. Akija akikuta mabadiliko atarudi kwa mitume wake ataondoka akirudi ni kuchukua vitu vyake ataenda kukaa na wenzake gheto. Hakuna watu wanasengenyana kama hao walokole. Mfukuze huyo.
Hahahaahhahahaah nimecheka sanaa wewe ni kichaa sanaaa.
 
Wakuu jumbe zenu zimenifungua kwenye mengi, nimekubaliana na Rufiji dam kwamba ni heri kusali kawaida kuliko kua mlokole... sina hamu tena, nimepanga kumuita na kumuelezea kwa utulivu kabisaa na ntasema vile nnavyojiskia na ntaweka wazi achague moja arudi kwanza nyumbani kwao akajifikirie kwa umakini na ajitathimini nini anataka ktk maisha yake na kipindi icho sitomtafuta wala kumtumia ata shilingi, nadhani hapo majibu yatapatikana and ntaleta mrejesho humu.
 
N༙A༙K༙U༙K༙U༙M༙B༙U༙S༙H༙A༙!!!

H༙A༙K༙I༙K༙I༙S༙H༙A༙ T༙A༙R༙E༙H༙E༙ 28 O༙C༙T༙O༙B༙E༙R༙ U༙N༙A༙M༙P༙I༙G༙I༙A༙ K༙U༙R༙A༙ W༙A༙K༙I༙L༙I༙ M༙S༙O༙M༙I༙ M༙H༙E༙S༙H༙I༙M༙I༙W༙A༙ T༙U༙N༙D༙U༙ L༙I༙S༙S༙U༙.
#NIYEYE
 
Kiongozi
Nionanvyo mimi huyo dada anakupenda sana wala huo ulokole sio sababu ya kukuacha/kumuacha
Kitu alichoshtukia, ni kuwa watu wengi wanaokuwa kwenye mahusiano ya kuishi nyumba moja zaidi ya mwaka bila ndoa huishia kuachana...
Hivyo
1. Dada wa watu anahitaji ndoa kwani ana amini kuendelea kukupa penzi ni kukufanya usione umuhimu wa kuoa
2. Mlokole asiyekupenda hawezi kuishi nyumba moja na wewe
3. Tangazo ndoa halafu mtafutie cha kufanya, hautajutia. Huo mpango wa kando ukijichanganya utakuja hapa kuomba ushauri...
 
  • Thanks
Reactions: THT
Kiongozi
Nionanvyo mimi huyo dada anakupenda sana wala huo ulokole sio sababu ya kukuacha/kumuacha
Kitu alichoshtukia, ni kuwa watu wengi wanaokuwa kwenye mahusiano ya kuishi nyumba moja zaidi ya mwaka bila ndoa huishia kuachana...
Hivyo
1. Dada wa watu anahitaji ndoa kwani ana amini kuendelea kukupa penzi ni kukufanya usione umuhimu wa kuoa
2. Mlokole asiyekupenda hawezi kuishi nyumba moja na wewe
3. Tangazo ndoa halafu mtafutie cha kufanya, hautajutia. Huo mpango wa kando ukijichanganya utakuja hapa kuomba ushauri...


Tabia na ndoa ni wapi na wapi kama ameanza vioja..

Kumbuka jamaa kasema wanapendana sana ila wenzake kabadilika ghafla.

Sent using mt4 app
 
Yalimkuta mshakaji wangu mmoja npaka aka demu akawa anaambiwa na nabii kuwa ameoteshwa kuwa bwana wake anataka kumuo akilala usiku.

Hivyo kwa vile wao wanawaamini hao wala kondoo kupita basi akashawishiwa apangiwe chumba na nabii jioni akawa anaenda kumega kondoo..

Mapenzi acha tu jamaa alivumilia mwisho wa siku wamekuja kuona hato yote baada ya kumstopisha kwenda kwa nabii wala kondoo!
 
Back
Top Bottom