King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,670
- 68,631
Atazikwa nayo hii?
Acha wivu mtoto wa kiume fanya kazi sio unakalia maandamano tu,utakufa Maskini shauri yako
How? ...funguka?Salute kwake kama ya yule Muha wa FUTUHI !
Mpambe wa Riz1,utajiri ameupata mara baada tuu ya JK kuingia madarakani,ukimuuliza amepataje utajiri huo atakuambia malori ya kusafirsha mafuta wakati wapo akina KUGI's miaka nenda rudi wanafanya biashara hiyo hawajakua na pesa hizo.Na ni kawaida ya mtu anayepata pesa bila jasho ndiyo huchezea hivyo maana hata kuna gari ya mtoto wa Bakheresa aliinunua huyu jamaa.Ila kwa Manji aligonga mwamba na kutimuliwa Yanga
Acha wivu mtoto wa kiume fanya kazi sio unakalia maandamano tu,utakufa Maskini shauri yako
lakini nasikia huyu jamaa ni mmoja ya wanaosababisha vijana wetu kufungwa nje ya nchi. ni mshirika mkubwa wa riz na riz aliingia kichwa kichwa akashikwa china.