R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,573
Nimefuatilia mpambano wa ccm ; kuhusu uraisi ; unanikumbusha mbio za uraisi kupitia democratic
hilary clinton - alijua wazi yeye ni mzoefu wa ikulu anawatu wengi anawajua , kwa hiyo 100% alijua ikulu ni yake ; ata kampeni zake ndani ya chama zilikuwa za nguvu ya vyombo vya habari- sitakosea kama anavyofanya lowassa ndivyo alivyo fanya hilary clinton
alikuwa na wafanya biashara wakubwa na tabiri nyingi za kumpa moyo - lakini yaliyotokea tuliyaona
baraka obama - ni mtu aliyekuwa apewi nafasi lakini aliandaliwa na watu kwa manufaa ya kunusuru chama na ni mkimya kama membe
na kutokukurupuka na kuonga vyombo vya habari; kulimjenga na mpaka sasa tuonyo
;amejenga chama mpaka sasa republican watashindwa kama ilivyoshindwa labour.
Utabiri wa mchuano huu matokeo ni kama ya democratic