Mchuano mkali wagombea Uenyekiti CHADEMA Kanda: Kamati Kuu yaweka uteuzi hadharani

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
82,861
Points
2,000

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
82,861 2,000
Jina: John Heche
Wadhifa: Mbunge jimbo la Tarime vijijini
Nafasi anayogombea: Mwenyekiti wa Chadema kanda ya serengeti.

Hakika cdm kanda ya serengeti haitotikisika hata kwa mizinga mbele ya kamanda mpambanaji mh Heche.
Screenshot_20191126-132815.jpeg
 

BenKaile

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
433
Points
500

BenKaile

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
433 500
Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!

Nauliza tu kwa nia njema!
Makabila yapatikanayo kanda ya kaskazini ni kheri ujue kwanza ni mikoa mingapi inaunda kanda nzima, Kilimanjaro, Arusha, Tanga, Manyara na mikoa hii ina makabila mengi sana na sio wachagga pekee. Wapare, Wasegeju, Wabondei, WaIraaq, Wameru, Waarusha, Watindiga, Wabarbeig, Wamasai, Wasambaa n.k
 

Ralph Tyler

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
1,924
Points
2,000

Ralph Tyler

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
1,924 2,000
Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!

Nauliza tu kwa nia njema!
Wagombea wa kanda ya kaskazini:
 1. Lema
 2. Selasini
 3. ole Koimere
 4. Komba
 5. Landey
 6. Bahweje
 7. Massawe
 8. Girdaya
 9. Mollel
 10. Mphare
Wachagga ni % ngapi kwenye hiyo list? Nimeona Lema, Selasini na Massawe. Kumbe hata wakiwa 3 kati ya 10 bado hawatakiwi? Sumu ya ubaguzi inakutafuna!
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,593
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,593 2,000
Wagombea wa kanda ya kaskazini:
 1. Lema
 2. Selasini
 3. ole Koimere
 4. Komba
 5. Landey
 6. Bahweje
 7. Massawe
 8. Girdaya
 9. Mollel
 10. Mphare
Wachagga ni % ngapi kwenye hiyo list? Nimeona Lema, Selasini na Massawe. Kumbe hata wakiwa 3 kati ya 10 bado hawatakiwi? Sumu ya ubaguzi inakutafuna!
Huyo Komba mnamuonea bure.

Hayo ndio majina yatakayopiigiwa kura au ni ya wale wachagga wawili?!
 

Mshangai

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2008
Messages
369
Points
500

Mshangai

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2008
369 500
Kanda ya kaskazini haina makabila mengine zaidi ya wachagga?!

Nauliza tu kwa nia njema!
Umeambiwa inashindaniwa kati ya Lema na Selasin. Wapi kakuambia linashindanishwa kabila Fulani na Fulani?
Sometimes uache ubwege kidogo tuzungumze vitu vilivyokuwa serious kidogo, au hujala bado? Nitumie namba yako ya mpesa inbox nikufae kidogo member mwenzangu wa JF.
 

Mshangai

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2008
Messages
369
Points
500

Mshangai

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2008
369 500
Uchaguzi wa uwongo watu wa makao makuu wanachagua na kupitisha hata walioshindwa kwa kigezo cha maagizo kutoka kwa mbowe na ukabila juu pale morogoro lijualikali alishinda mkampa Devotha minja kisa ni mchaga

State agent
Umekuwa unasema uongo kama meko asemavyo uongo hata madhabahuni.
Kijana muongo kama wewe uzeeni lazima uwe mchawi
 

Zabron Hamis

Verified Member
Joined
Dec 19, 2016
Messages
1,543
Points
2,000

Zabron Hamis

Verified Member
Joined Dec 19, 2016
1,543 2,000
Chadema 2015 walisema kipau mbele chao Cha Kwanza Ni elimu,Cha pili elimu Cha tatu elimu

Sasa Ni wakati muafaka wa wao kutekelekeza kipau mbele hicho kwa kumpa uenyekiti wa Chadema taifa mtu mwenye digrii kuonyesha heshima waliyonayo kwa elimu

Haipendezi kwa Chama kinachojinasibu kuwa kipaumbele Ni elimu halafu kinakuwa na mwenyekiti wa Chadema taifa form six division zero akiongoza maprofesa akina Profesa baregu nk .

Chadema ishini maneno yenu Kama kipau mbele Ni elimu onyesheni kwenye cheo Cha uenyekiti .Ni aibu kusema kipaumbele Ni elimu halafu.mwenyekiti wa Chadema taifa division zero
Kipau mbele
 

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
8,407
Points
2,000

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
8,407 2,000
Hata hivyo Kanda ya Pwani inayotizamwa kama Kanda Kiongozi Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Tluway Sumaye amepita bila kupingwa kugombea Uenyekiti hiyo ikionekana kama heshima kubwa kwake.
So, ile habari ya kwamba mzee kakataliwa kwa kupigiwa kura nyingi za hapana ilikuwa ni njama, hila na upotoshaji wa mabeberu wa Kitanzania?
 

Forum statistics

Threads 1,392,924
Members 528,739
Posts 34,122,262
Top