TANZIA Mchoraji wa katuni ya Mohammad (Lars vilks) afariki dunia kwa ajali ya gari

Wenzetu wako serious kiasi chake kwenye kulinda raia wake.

Toka 2007 mpaka leo mtu analindwa na polisi kisa anatishiwa kuuwawa.

Sisi tunajitahidi kuwalinda tembo na faru Kwa u-serious huo dhidi ya poacherskla

Mswedeni cartunisti Lars Vilk ambaye mwaka 2007 alichora katuni ya kumzihaki Mtume Muhammaad iliyo trend sana afariki kwenye ajali ya gari.

Huyo jamaa Mwaka 2007 alichora kibozo cha ummbo la mbwa likiwa na kichwa cha Mtume Muhammad.

Jamaa alilaumiwa na jumuiya yote ya uislam duniani.

Akahukumia fatwa na jumuiya ya uislam.

Jamaa maisha yake yalikuwa hatarini na alisakoswakoswa kuuwawa mara kadhaa.

Al qaeda walitangaza dau la dola 100,000 kwa mtu atakaye muua.

Jamaa alikuwa analindwa na polisi muda wote na hata ajali.

iliyotokea ni kati ya gari ndogo ya police aliyokuwa anatembelea kugongana na roli la mizigo uko sweden .

Dini jamani sio za uzizihaki , sijui ndio kauliwa au ni ajali ya kawaida siku zake zimefika.
Soma habari kamili kenye link hapo chini.

Mitume hawadhihakiwi lazima kikupate tu,Amelindwa lakini amekufa kifo cha fedheha gari lake limeungua moto,kaungua kwanza hapa hapa na anakoenda atakutana nao moto
 
Naisi ni fake accident ili kuingiza maboya kwenye mtego wajue kafa kumbe!!
 
Mchora katuni wa ufaransa Bwanaaaa Lars Vilks amefariki dunia kwa ajali leo nchini huko.

Bwana Lars Vilks alijipatia umaarufu baada ya kuzua taharukii kwa kuchora katuni ya mtume MOHAMED SAW.

===
A view of a scene after an accident between a car and a lorry in which three people died, including Swedish artist Lars Vilks, outside the town Markaryd in Sweden October 3, 2021. TT News Agency/ Johan Nilsson via REUTERS

STOCKHOLM, Oct 4 (Reuters) - Swedish artist Lars Vilks, who stirred worldwide controversy in 2007 with drawings depicting the Prophet Mohammad with the body of a dog, was killed in a car crash near the southern town of Markaryd on Sunday, police said.

Vilks, 75, who had been living under police protection since the drawings were published, was travelling in a police vehicle which collided with a truck. Two police officers were also killed.
"This is a very tragic incident. It is now important to all of us that we do everything we can to investigate what happened and what caused the collision," Swedish police said in a statement on Monday.

"Initially, there is nothing that points to anyone else being involved." Most Muslims consider any depiction of the founder of Islam as offensive.

Since the publication of the cartoons, Vilks had been living under round-the-clock police guard following threats against his life. He had a bounty put on his head and his house was fire-bombed.

In 2015, one person was killed in Copenhagen, Denmark, at a meeting meant to mark the 25th anniversary of an Iranian fatwa against British writer Salman Rushdie, which Vilks attended.
Vilks was widely seen as the intended target.

Vilks had said that the cartoons were not intended to provoke Muslims, but to challenge political correctness in the art world.

Reporting by Helena Soderpalm, Editing by Simon Johnson and Timothy Heritage


Source: Bbc Swahili
Licha ya hiyo Accdent nasikia kaungua kwa moto hasa watu wabaya wanaanza kulipwa hapa hapa Jahannam iwe makazi yako.
 
Kama hawezi kuchorwa kwa sababu hakuna aliyemuona kwa nini msipuuzie hiyo michoro? Kwa nani waislam walivyo react kwa hiyo michoro, ni wazi hii dini na ugaidi ni pipa na mfuniko. Huyo kapata ajali ya kawaida tu, tena alishavuka umri elekezi wa miaka 70 ambao Bible inataja.
 
Unajuaje kama ni mbinu tu wametumia ili wawapoteze waliokuwa wanaomtafuta wamuuwe? Tuseme kafa kweli, je kifo chake kimefuta kile kibonzo akilini mwa watu?
Hayo mambo ndio maana kuna watu wanaamini hadi leo kuwa 2pac hakufa yupo hai kajificha sijui wapi huko.
 
Mh coincidence.... siyo kwa vile alichora
Mambo hayo ndio yale ya kuhusisha kifo cha Magufuli na kudai et Mungu kamuondoa kwa sababu alikuwa dikteta au sijui kafa kwa corona kwa sababu aliidharau corona.
 
Mwanzo wa uzi mpaka hapa sijaona hizo cartoons za mtume sijajua kwanini,mimi naweka liwalo na liwe.
C54E7EE4-A6DE-42A7-8C39-AEA8484F11A4.jpeg
7531BD95-5B4A-4891-A439-967727DC5379.jpeg
C54E7EE4-A6DE-42A7-8C39-AEA8484F11A4.jpeg
C54E7EE4-A6DE-42A7-8C39-AEA8484F11A4.jpeg
7531BD95-5B4A-4891-A439-967727DC5379.jpeg


2571A18A-5BF8-4645-94D0-5DCAD43C558D.jpeg


DA090086-B673-4548-9050-72B50CD055B8.jpeg
 
Mambo hayo ndio yale ya kuhusisha kifo cha Magufuli na kudai et Mungu kamuondoa kwa sababu alikuwa dikteta au sijui kafa kwa corona kwa sababu aliidharau corona.
Issue ya Mungu tuko pamoja, hakuna cha Mungu hapa maana kuna attrocities nyingi zimefanywa na watawala kama magufuli, lkn walidumu duniani miaka mingi sana eg Idd Amin to mention one, but there is a multitude of them; mbona hao Mungu hakuwaangamiza> After all I do question the existence of God anyaway!

Issue two with regard to corona, I beg to differ for the following reasons:
1. Magufuli downplayed the consequences of corona, he even dared to "provoke" corona virus that it is like hydrogenated cooking oil and therefore vulnerable to melt... ie once subjected to natural concoctions like Kikomba cha babu, including "KUJIFUKIZA" corona was susceptible to heat, labile and therefore easily killed. That was quite unscientific, a real downplay!
2. He did not take any approved measures (such as wearing face masks, hand wash (though I was not in his vicinity), ignoring unnecessary gatherings, and the like) to protect himself from infection. THEREFORE THERE IS A GREAT POSSIBILITY THAT HE GOT INFECTED AND DIED OF CORONA ......
 
Back
Top Bottom