Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 559
'GADO' Godfrey Mwampembwa ni Mchora katuni mwingine ambaye Namkubali sana na sanaa yake ya Uhakika na Kufikirisha. Kwa kazi zake zaidi cheki hapa Tovuti ya Gado Toons
eti polisi wanashemsha bongo watazipataje bilioni za Mo... ha ha ha'GADO' Godfrey Mwampembwa ni Mchora katuni mwingine ambaye Namkubali sana na sanaa yake ya Uhakika na Kufikirisha. Kwa kazi zake zaidi cheki hapa Tovuti ya Gado Toons
View attachment 908793View attachment 908798
View attachment 908796View attachment 908799View attachment 908800
Kwa ujumla huyu Jamaa ni Moto kabisa!Hahahaha Hiyo Ya Mwisho Hatari
Kipanya anamwogoga JIWEGado ni noma zaidi ya masudi coz anakamua international zaidi..anawakimbiza sana huko Kenya pia...a TZ in KE!
Kipanya anamwogoga JIWE
hapana wa dw Wanaitwa Said Michael, na MeddyHivi huyu ndo yule wa DW?
Unamchongea kiumbe mwenzioKipanya mnafiki sana..
Hadi kwenye breakfast hua akifika mahali pa serikali anaruka hatoi hata maoni....such a woman!
Gado yupo Kenya anawapandia Wakenya huko huko bila kuogopa,na Kenya walivyo wauaji the guy cruises!
Kabisa aisee Gado ni balaaGado ni noma zaidi ya masudi coz anakamua international zaidi..anawakimbiza sana huko Kenya pia...a TZ in KE!