Mchongo kwa vijana

MORIO15

MORIO15

Member
Joined
Oct 13, 2016
Messages
45
Points
125
MORIO15

MORIO15

Member
Joined Oct 13, 2016
45 125
MCHONGO KWA VIJANA

Nahitaji vijana 15 mpaka 20 wenye malengo na creative wenye mtazamo na utayari wa kutimiza ndoto walizonazo. Kabla ya mwezi wa tisa.

Mchongo kwa vijana (22-35) wote Dar es salaam.

Karibu upate mafunzo, mbinu mbadala na namna gani tunaweza kujikwamua na kufanikiwa kufikia malengo yetu.

Tuonane na Tuwasiliane kwa Whatapp 0682315816.

  • Asante kwa waliojitokeza (KIJANA NI TAIFA LA KESHO)
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
21,236
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
21,236 2,000

Mkuu, haya mambo yamepitwa na wakati.
Skuizi dunia imebadilika sana, na kama uliamua kuweka hili bandiko hapa hadharani.... Kwa nini sasa haumalizii kuweka na huo mchongo mzima hapahapa..!!??
Na kidogo nimepata mashaka na hapo kwenye umaliziaji "ahsante kwa walio jitokeza" na sijajua pengine huu ni muendelezo wa kitu ambacho tayari kilisha anza pengine....!!!
 
WAKATI NDO SASA NA DUNIA IMEBORESHWA NA MAMBO MENGI NA HAJABADILIKA....KAMA UPO TAYR FUATA USIPOTOSHE WENGI NA KUWAKATISHA TAMAA NA NEGATIVES ZISIZO NA TIJA
 
MORIO15

MORIO15

Member
Joined
Oct 13, 2016
Messages
45
Points
125
MORIO15

MORIO15

Member
Joined Oct 13, 2016
45 125
IF Y
Unataka kuwageuza vijana wenzako fursa?
""''If your strength is small, do not carry heavy burdens "" HII NI SIGNATURE YAKO.....THEN KAMA HUJIAMINI DONT CARRY YOUR BURDEN ****DONT CREAT NEGATIVITY ON OTHERS
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
21,236
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
21,236 2,000
WAKATI NDO SASA NA DUNIA IMEBORESHWA NA MAMBO MENGI NA HAJABADILIKA....KAMA UPO TAYR FUATA USIPOTOSHE WENGI NA KUWAKATISHA TAMAA NA NEGATIVES ZISIZO NA TIJA
Hakuna ninae mpotosha mkuu, Mimi nimeweka wazi kilicho nifanya niwe na mashaka, na pia nimeweka wazi kile nikicho dhani ni sahihi.
Haya mambo ya kuitana kwenye sim ama PM kwa dunia ya leo sio sawa. Tumeshuhudia mengi na wengi wakilizwa ama kugeuzwa fursa humu Jf, na hili ndio moja ya sababu ya Mimi kukwambia kwa nini usuweke hili wazi hapa ....??
Pamoja na hayo, ebu tueleze hao waliojitokeza mnakwama wapi...??
 
Chief M-255

Chief M-255

Member
Joined
May 21, 2019
Messages
26
Points
75
Chief M-255

Chief M-255

Member
Joined May 21, 2019
26 75
Simama kiume mkuuu..wape mchongo wa wazi, kweli na haki vijana. Lakini masuala ya kuwaita chamber unawapiga pesa Mara online business inakuwa sio njema wala ujanja maana mmezidi kuwaumiza wadogo zetu na hizo ntantalira na mandoto ya umilionea..sio fair jaribu kuuachia huo mtonyo hapahapa asee
 
MORIO15

MORIO15

Member
Joined
Oct 13, 2016
Messages
45
Points
125
MORIO15

MORIO15

Member
Joined Oct 13, 2016
45 125
Hakuna ninae mpotosha mkuu, Mimi nimeweka wazi kilicho nifanya niwe na mashaka, na pia nimeweka wazi kile nikicho dhani ni sahihi.
Haya mambo ya kuitana kwenye sim ama PM kwa dunia ya leo sio sawa. Tumeshuhudia mengi na wengi wakilizwa ama kugeuzwa fursa humu Jf, na hili ndio moja ya sababu ya Mimi kukwambia kwa nini usuweke hili wazi hapa ....??
Pamoja na hayo, ebu tueleze hao waliojitokeza mnakwama wapi...??
Maana ya fursa ni nafasi ya kuweza kufanya jambo iwapo mtaji, mbinu bunifu na elimu inapatikana katika kutimiza jambo. Vijana wengine wanategemea mteremko ndo maana wanalizwa hawana mtazamo ya fursa inawanufaishaje na kuwasaidia vipi kwa miaka ijayo. Na hakuna alikwama. karibu sana
 
MORIO15

MORIO15

Member
Joined
Oct 13, 2016
Messages
45
Points
125
MORIO15

MORIO15

Member
Joined Oct 13, 2016
45 125
Simama kiume mkuuu..wape mchongo wa wazi, kweli na haki vijana. Lakini masuala ya kuwaita chamber unawapiga pesa Mara online business inakuwa sio njema wala ujanja maana mmezidi kuwaumiza wadogo zetu na hizo ntantalira na mandoto ya umilionea..sio fair jaribu kuuachia huo mtonyo hapahapa asee
only hard work creats milioneaz haiji over night
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,013
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,013 2,000
WAKATI NDO SASA NA DUNIA IMEBORESHWA NA MAMBO MENGI NA HAJABADILIKA....KAMA UPO TAYR FUATA USIPOTOSHE WENGI NA KUWAKATISHA TAMAA NA NEGATIVES ZISIZO NA TIJA
Sio kuwapotosha mkuu.
Jamaa yuko sahihi kabisa na namsapoti.
Kama Hilo dili lako ni la halali kwa nini usiliweke hadharani hapa kila mtu aone.
Na Kama ni dili la Siri kulikuwa na haja gani ya kulileta hapa,ungefanya kimya kimya na ndugu zako wa mtaani kwenu.
 
mazojms

mazojms

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Messages
448
Points
500
mazojms

mazojms

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2017
448 500
MCHONGO KWA VIJANA

Nahitaji vijana 15 mpaka 20 wenye malengo na creative wenye mtazamo na utayari wa kutimiza ndoto walizonazo. Kabla ya mwezi wa tisa.

Mchongo kwa vijana (22-35) wote Dar es salaam.

Karibu upate mafunzo, mbinu mbadala na namna gani tunaweza kujikwamua na kufanikiwa kufikia malengo yetu.

Tuonane na Tuwasiliane kwa Whatapp 0682315816.

  • Asante kwa waliojitokeza (KIJANA NI TAIFA LA KESHO)
We malengo uliyonayo umeyatimiza? Au utayatimiza ukishawapata hao vijana 15 mpaka 20? kutokuyaweka malengo yako hapa kutafanya watu waguess unamalengo yale yaliyokwisha zoeleka.

Either wewe ni mwizi au mwongo, maana mpangilio wa tangazo lako inaonyesha huwezi mfundisha mtu kupangilia malengo yake ili afanikiwe.
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
21,236
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
21,236 2,000
Maana ya fursa ni nafasi ya kuweza kufanya jambo iwapo mtaji, mbinu bunifu na elimu inapatikana katika kutimiza jambo. Vijana wengine wanategemea mteremko ndo maana wanalizwa hawana mtazamo ya fursa inawanufaishaje na kuwasaidia vipi kwa miaka ijayo. Na hakuna alikwama. karibu sana
only hard work creats milioneaz haiji over night
Haya maneno matamu kama ya yule member aliekua kiranja wa Forex...teh
Basi nikutakie kila la kheri mkuu, maana mjini wajinga hawaishi kila siku
 
Tyrex

Tyrex

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
1,290
Points
2,000
Tyrex

Tyrex

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
1,290 2,000
Sio kuwapotosha mkuu.
Jamaa yuko sahihi kabisa na namsapoti.
Kama Hilo dili lako ni la halali kwa nini usiliweke hadharani hapa kila mtu aone.
Na Kama ni dili la Siri kulikuwa na haja gani ya kulileta hapa,ungefanya kimya kimya na ndugu zako wa mtaani kwenu.
Bro good point, angewashirikisha ndugu zake wa ukoo wake
 
MORIO15

MORIO15

Member
Joined
Oct 13, 2016
Messages
45
Points
125
MORIO15

MORIO15

Member
Joined Oct 13, 2016
45 125
We malengo uliyonayo umeyatimiza? Au utayatimiza ukishawapata hao vijana 15 mpaka 20? kutokuyaweka malengo yako hapa kutafanya watu waguess unamalengo yale yaliyokwisha zoeleka.

Either wewe ni mwizi au mwongo, maana mpangilio wa tangazo lako inaonyesha huwezi mfundisha mtu kupangilia malengo yake ili afanikiwe.
Malengo yangu yametimia ndio maana nahitaji wenye utayari na sihitaji wengi....
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
7,216
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
7,216 2,000

Kila la heri
 
Forum statistics

Threads 1,304,794
Members 501,517
Posts 31,527,218
Top