Mchina mwingine akamatwa na Meno ya Tembo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchina mwingine akamatwa na Meno ya Tembo...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OkSIR, Jul 11, 2009.

 1. O

  OkSIR Senior Member

  #1
  Jul 11, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zilizotufikia hivi punde zinasema mchina mwingine amekamatwa muda si mrefu akielekea singapore na Air Qatar....akiongea kwa huzuni mtoa taarifa alisema emekamatwa baada ya kuingia ndani na baada ya kuingia machine ikaonyesha kwenye screen ....,alikuwa ana vitu visivyo vya kawaida...sasa kilichotokea polisi kuficha labda isijulikane wakamchukua wakampeleka ofisi zao za ndani kwa uchunguzi zaidi...baada ya muda wakatoka na polisi wengine wakitokea uwanja wa ndege wa zamani wakaja na kumchukua na pickup akiwa na mzigo wake...baada ya kuondoka walipoulizwa mapolisi ndipo waliposemma haya mambo bwana tunawaachia wenyewe...,,kweli ana mzigo lakini ukimuuliza na yeye anadai begi si lake la nani kapewa just inshort....ajibu..tukaamua tumpeleke kituoni
  wakaulizwa kama amefanya kosa kwanini hamkutoa mlango wa mbele mmetolea mlango wa nyuma je kama akiachiwa inyemela hamuoni watu watawadharau...akisema tuachien mapolisi tunajua tunachofanya..mmhh haya mambo inaonekana yanatendeka mara kwa mara safari hii wameamua kuchomana...rasmi
  haya tumwachie MAMA KILANGO
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh mimi kinacho niuma zaidi ni UJINGA wa hao polisi hapo airport wanajua kabisa michoro yote sijui wakoje mimi nataka niwazabe hata viboko na makofi mtu kabeba nyara zenye thamani ya milioni 20 wewe polisi unapokea rushwa sh.100,000/= kuruhusu mzigo upite huu si UJINGA jamani bora angekula rushwa ya MILIONI 8 angalau sasa wao wanapokea laki kwa milioni 20 au 50 mpaka 70 huku watu wanavusha mzigo huu upuuzi jamani watanzania sijui tukoje.
   
Loading...