Mchina asema kinachoenezwa na Tanzania kuhusu bandari ya Bagamoyo ni uongo

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,743
48,321
Asema asllimia kubwa ya sababu ambazo Tanzania ilitumia kubamiza mradi ni uwongo maana hazijawahi kujadiliwa kwenye kikao chochote au siku yoyote.

---------------------------------

China’s largest port operator has accused the government of Tanzania of spreading “false information” and misguiding the public about the cause of stalled negotiations over the $10 billion Bagamoyo port development it is backing in the country.

China Merchants Holdings International (CMHI) has been in negotiations with the Tanzanian government since 2013 about plans to build a harbour and special economic zone in Bagamoyo, 75km north of Dar es Salaam, but those negotiations hit an impasse in June.

Two weeks ago, Tanzania Ports Authority’s director general Deusdedit Kakoko said that the government had told CMHI to back down on parts of the proposed deal to make it more beneficial for Tanzania if it wanted to resume negotiations.

Mr Kakoko said that, among other conditions, the government would only offer the company a 33-year lease to the port, not the 99-year lease it was seeking.

Nilikuwa naongea na Mchina mmoja anasema kati ya Nchi ya Africa mashariki ambayo wachina hawazichezei na wanaziogopa katika maslahi ya Taifa ni Tanzania na Rwanda.

Anakwambia kwenye vikao vyao viongozi wao wa Kichina wanasema“Tanzania is unlikely other African Countries therefor do not temper with the government if you dont want to be returned home with severe punishment”
 
Uliongea naye kwa lugha gani? juu your writing is betraying you.
 
Nilikuwa naongea na Mchina mmoja anasema kati ya Nchi ya Africa mashariki ambayo wachina hawazichezei na wanaziogopa katika maslahi ya Taifa ni Tanzania na Rwanda.

Anakwambia kwenye vikao vyao viongozi wao wa Kichina wanasema“Tanzania is unlikely other African Countries therefor do not temper with the government if you dont want to be returned home with severe punishment”
Ahsante wa mipasho 🙂
 
Vipi..umeshapata noah yako..manake jiwe ni jembe..
1)Five major stadia
2)Laptop per child
3)Electrification of old model SGR
4)Jobs creation vs Freezing of employments
5)Galana kulalu
6)Green field terminal
7)SGR to Malaba vs Naivasha
8)BRT

Ulijaribu kuwauliza kwanini walidanganya?
Kisha nikuulize, mbna mdanganye watu kuhusu huo mradi...
Zitto kumbe ako right..raila kamshika jiwe na kumtuliza
 
Back
Top Bottom