Mchina Anasubiri Msosi kwa Mama Ntilie, kaazi kweli kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchina Anasubiri Msosi kwa Mama Ntilie, kaazi kweli kweli

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Aug 29, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Na yeye ni mtu tu kama wengine.
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,160
  Likes Received: 4,024
  Trophy Points: 280
  Tena wachina mbona hawana hizo kabisa kwenda hoteli za maana kula wala hawana muda huo wakiona cheap na watu wanaenda na yeye anaenda kumbuka hao ni wajamaa wa asili kabisa sio sisi tuko nusu ujamaa nusu ubepari na ubwanyenye
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,949
  Likes Received: 4,028
  Trophy Points: 280
  sioni cha ajabu cha kuwafanya hawa watu nyuma yya picha kumshangaa huyu jamaa
   
 5. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 3,658
  Likes Received: 1,156
  Trophy Points: 280
  mama ntilie wengine ni nyoko mzee kwa mapishi,hoteli zenyewe kapuni
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mchina haishi maisha ya kuigiza hata siku moja
   
 7. m

  markj JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,750
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  ajakidhi vigezo! kwa mama ntilie na maji ya klm bana! nime mdisqualify huyo, ila wapo wale wachina wengine matata sana ndo wanayaweza, huyu mchina sharo
   
Loading...