Mchina aangua kilio baada ya kuwaona Wastaafu wenzake wa Reli ya TAZARA-Mbeya

Jing+Jiang.JPG
Jiang+Jing+ying.JPG
 
Kila mkisikia Nyerere ndio alifanya madudu mnaumia roho? hampemdi kusikia ukweli? mmekaa mnadanganywa na nyie mnakubali, hivi huwa hamsikilizi hata hotuba zake? kuna nini cha maana zaidi ya udikteta?

Nyerere hakuwa Mtume bana! mapungufu yake sasa yanaonekana wazi wazi ona Muungano, halafu kwenye kitabu chake kaandika eti tunalilia serikali ya Tanganyika ili tuifanyie nini khaaaaaa, ina maana yeye hakuona umuhimu wetu wa Tanganyika, kweli hapo ali ni piss off kabisaaa
 
Back
Top Bottom