Mchikichini: Mtaa wa mateja uliotoa vipanga wengi kielimu Dar na mikoani

Nilisoma tuition mapambano Tena kwa kulazimishwa likizo ya form five, hakukuwa na jipya maana niliona wale walimu vilaza Bora walimu wetu wa shule maana wali cover everything, kipindi kingine sikuruka Tena hapo nikawa najisomea zangu vitabu na notice, nikatoboza kwa ufaulu mzuri wa mabanda mawili
Watu wa St Anna wine mna mbwembwe
 
Write your reply...Watu wanaisifia elimu ya zamani as if iliwafanya wagundue vitu au wawe unique sana kuliko wanaosoma sasa. lakin ukifuatilia pepa zao ni zakawaida tu wala hazina maajabu yeyote. sion sababu ya kuisifia elimu ya zamani.
Tulia j3 mnafungua shule acha kelele! Na ww utakuja kuongea na kizazi chako miaka hyoooo!!! Ila kwa sasa tuache wakongwe tukumbushane enzi zetu za misuli bed
 
Moody Physics, Mtata De Mtatuz Adv Maths. Jumane & Jumamosi tunapiga zoezi la Pure kwa Manyilizu Jangwani.

Shule zilikuwa ni examination center tu.
Yule mwl alikuwa anajaza watu kwenye paper la pure math pale jangwani aisee
 
  • Thanks
Reactions: amu
Write your reply...Watu wanaisifia elimu ya zamani as if iliwafanya wagundue vitu au wawe unique sana kuliko wanaosoma sasa. lakin ukifuatilia pepa zao ni zakawaida tu wala hazina maajabu yeyote. sion sababu ya kuisifia elimu ya zamani.

Hazina maajabu? Weka uliofanya wewe na moja ya miaka ya 2000
 
Point 7 ilikuwa nadra sana au ikipatikana ni moja tu kitaifa. Siku hizi madogo tena mademu eti darasa zima lina point 7! Nyakati kweli zimebadilika au mitihani inatungwa mirahisi sana siku hizi?
Teknolojia na maendeleo katika sekta ya elimu imerahisisha elimu..........sasa kama elimu yako tu imeshindwa kukusaidia kuelewa kwa nn watoto wanafaulu sana sasa hv halaf unasema ndo ilikuwa elimu ya kweli???
 
Mchikichini
Screenshot_20200622-210754.jpg
 
Requal kwanini Walimu wengi wa hapo ( Mchikichini ) unapopasifia hivi hufa ( hufariki ) sana na ule Ugonjwa uliogundulika hasa mwaka 1981?
Mkuu hili sijui na sijui kabisa kama hufaga kwa ugonjwa huo?

Ila ninachojua ile sehemu ilikuwa inawaingizia pesa sana, hebu fikiria hidden tu aliweza kujenga nyumba nzuri ya kuishi ya ghorofa na miradi mingine mingi tu ukiachana na jengo na kiwanja alichonunua hapo mchikichini alipokuwa anafundishia
 
Said Mgote Kkoo/Sir Abdallah Ubungo/ Sir Mtiga. Physics Advance
Mwarami Kkoo/Muunzi Jangwan. Advance Maths.
Issue Boy Kkoo. Advance Chem.

Aiden / Mtata de Mtatuz. Mchikichini. Basic Maths.
Sir Unga Mchikichini. Chemistry Olevel.
Mbuga Mchikichini. Biology Olevel.
Muddy Mchikichini. Pysics Olevel.

Mungu awabariki sana hawa jamaa popote pale walipo.
Walitusaidia sana watoto wa shule za KATA.
Watoto wakishua hawawezi kuzielewa hizi Hustle back then.
Kabisa chief
 
Sasa hivi uko wapi Mkuu ?
Tunataka kupima impact ya hizo tuition zenu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
hapa hatujadili mtu chief.
na ukiona unakazania kujadili mtu ukiwa nyuma ya keyboard jua wewe mwenyewe ni tatizo ama ushafeli kabisa unaanza kuhangaika na ya wengine sasa
 
Back
Top Bottom