Mchezo wa soka la vilabu wahamia Tzn,AS VITA yalala 2-0 kwa Simba Sports Club,Gormahia kesho mtachomoka?

Gor wapo ligi ndogo, Simba tupo champions league tunaiwakilisha E.A. Tunaogela mapesa na wenzetu kina Mazembe
IMG-20190316-WA0010.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gor wapo ligi ndogo, Simba tupo champions league tunaiwakilisha E.A. Tunaogela mapesa na wenzetu kina Mazembe View attachment 1047382

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa twende polepole! Simba SC kwa kuingia robo fainali wanapata USD650.000.00?! Au CAF wamekosea, that is about Tshs.1.5 billion au siyo!? Loo hiki kitita cha nguvu na cha kutia moyo! Halafu na TFF wanapatia hapo hapo! Kazi kweli kweli. All the best Simba SC, wakati tukisubiri hizo draws za robo fainali hapo 20th March 2019.
 
Mfumo wa JF utakua umenizingua, nilitaka kusema jinsi mashabiki wa Simba wamekua ovyoo kwamba nimeona wanavyokejeli wa Yanga ilhali hawa hawa wa Yanga jana walikua wazalendo na kushabikia Simba.
Hamna lolote.. una tetea vyura wenzako . Jana nilikua uwanjani nilikaa jukwaa la Yanga, mliungana na wakongo mkaanza kukata mauno! Matokeo yake tukawajaza mimba.
20190316_185536.jpg


Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom