nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 4,490
- 6,892
Hukuwaona walivƴoshangilia goli la as vita?Mfumo wa JF utakua umenizingua, nilitaka kusema jinsi mashabiki wa Simba wamekua ovyoo kwamba nimeona wanavyokejeli wa Yanga ilhali hawa hawa wa Yanga jana walikua wazalendo na kushabikia Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app