Mchezo wa lugha kwa viongozi wa serikali na ccm katika kutudanganya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchezo wa lugha kwa viongozi wa serikali na ccm katika kutudanganya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), Jun 24, 2011.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwanini viongozi wa serikali na ccm hutumia lugha ya kiingereza pale wanapotaka kuwadanganya au kuwaficha ukweli walalahoi na lugha ya kiswahili pale wanapotaka kupata sifa au kujikosha kwa wananchi?Mfano mswada wa marekebisho ya katiba ,miswada mbambali n.k.Katika vidio hii kimantiki hapa katika press confrence hii Ngeleje angelitumia lugha ya kiingereza.Lakini kwa makusudi katumia lugha ya kiswahili kwa sababu lengo lilikua kuufikisha ujumbeKuwarubuni walalahoi) haraka zaidi jinsi gani serikali inavyofanya kazi usiku na mchana kutatua taizo la umeme.
  YouTube - ‪Tanzania's Energy and Minerals Minister speaks (Michuzi Blog)‬‏
   
Loading...