Mchezo wa kujirusha toka angani: Muasisi wa mchezo huo Tanzania afariki baada ya kujirusha na kupata majeraha

Angejipanga.

Alikurupuka mno.

Au nadhani alikuwa ana intention ya kujiua so akatumia mchezo kama kigezo.

ANYWAY. RIP MRUKAJI WA ANGA
 
anadai hiyo michezo alikuwa anaicheza huko mtwara kwenye milima, alikuwa very confident akajirusha kwenye simtank
 
Kwenye taarifa ya habari ITV leo katika habari za michezo nimesononeshwa sana nafsi kwa habari iliyosomwa ya mchezo wa kuruka toka ghorofani, nimekaa nikasema hebu niangalie mchezo huu mpya,
La haula ningejua nisingeangalia!
Mara tunaoneshwa mchezaji wa mchezo huo kijana hivi akiwa juu ya majengo Yale mapya ya Magomeni Ghorofa ya 13
Huku chini pakiwa pameandaliwa Sim tank yenye maji kama mahali pa kufikia mrukaji akitoka juu, huku mashabiki kiasi wakiwa wanasubiri kwa hamu mchezaji kujirusha!
Muda ukafika mchezaji huyo akajirusha na kutumbukia kwenye sim tank,
Sekunde kadhaa kupita jamaa hakuibuka toka kwenye sim tank
Baadhi wakakombilia ili kumuona kama yuko salama
Laa haula jamaa amevunjika miguu yote na kuwahishwa muhimbili.
Mwisho msomaji wa habari hii Issa Ndokeji akasema kwa taarifa walizozipata karibuni ni kuwa mtu huyo amefariki dunia!!
Kimsingi nimesononeka sana tena sana na habari hii na kufanya usiku wangu kuwa mbaya sana!
Simfahamu huyo jamaa lakini sidhani kama ilikua sawa kwa habari hii kwenda hewani hasa ukizingatia katika sehemu ya michezo na burudani ambapo nilitarajia habari za kuburudisha na kufurahisha,
Kama kweli amekufa, basi naomba Mungu amlaze mahali pema Amin.
Wanaofia uwanjani kwenye boxing Habari zao huwa zinasomwa kwenye Habari za uchumi?
 
Huyo jamaa kafa kwa ujinga.
Huwezi kujirusha kutoka kina kirefu haafu ukategemea maji yataku cushion na impact ya uzito wake mwenyewe.
Kwenye physics tukumbuke, maji siyo compressible, yaani maj ukiyaingia kwa spidi, ni kama jiwe tu.
Huyu jamaa kafa kwa ujinga!
Lakini RIP.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom