Mchezo wa karata

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,825
Habarini wana jamvi?

Naomba kujuzwa machache juu ya mchezo wa karata.
1. Ulianza lini na ni nani mwanzilishi/waanzilishi wake?

2. Nini maana ya ile michoro iliyo kwenye karata?

Natanguliza shukrani kwa ushirikiano wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom