Mchezo wa Bao. Msambaze mchezo huu wa jadi la Afrika Mashariki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchezo wa Bao. Msambaze mchezo huu wa jadi la Afrika Mashariki!

Discussion in 'Sports' started by Nino, Oct 12, 2012.

 1. N

  Nino Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tawi la Uswisi la KIBA linafurahi sana kutangaza kwamba Mashindano ya Kimataifa ya Tano ya Mchezo wa Bao yatafanyiwa mjini La Tour de Peilz (Uswisi) kuanzia Novemba 10 hadi Novemba 11, 2012 (taz: Mashindano ya Bao 2012).

  Kujiandikisha si lazima, lakini kungetusaidia sana kuandaa mahali pa kucheza.

  Tunatarajia kukukutana kwenye mashindano mjini Tour de Peilz (Uswisi)!

  Kwa maelezo zaidi andika kwa: info@kibao.org.

  KIBA
  Bao
   

  Attached Files:

Loading...