Mchezo Mchafu: Umeme maeneo Sugu Mwanza Umewaka, Baada ya Kuombwa Hoja ya Daharura ya Wenje

Nilikuwa Arusha hivi karibuni nikastaajabu ratiba ya mgao wa umeme huko. Kwa muda wa wiki mbili umeme unakatwa saa 1 asubuhi na kuwashwa saa 6 usiku.
Naambiwa sasahivi hali ndo imezidi kuwa mbaya zaidi, hivyo basi watanzania lazima tukubali sasa kufanya maamuzi magumu lakini makini kwa ajili ya mustakabali wetu. Vinginevyo hawa wakubwa wataendelea kujifungia kwenye maofisi yenye vipupwew na kula mishahara pasipo kutekeleza wajibu wao kwa wananchi na taifa kwa ujumla.
 
Nachelea kucomment naweza nikashitakiwa kwa uchochezi bora ninyamaze maana mimi nipo jimbo la mbunge wa chama tawala hali ni mbya ukikatika saa kumi na mbili jioni unarudi saa sita usiku na kukatika asubuhi alfajiri ngoma ni mpaka saa moja magharib.
Kama mbunge wako ni wa magamba na bado mnapigwa mgao mkali wa umeme jaribu kumfuatilia ujue yuko upande gani kati ya yale makundi maarufu ndani ya magamba. Nabashiri kwamba atakuwa anaunga mkono upande wa pili ama atakuwa vuguvugu.
 
Baada ya jiji la mwanza kusota gizani kwa siku 4 mfululizo mchana na usiku kwa muda wa masaa 24 kila siku, leo huduma ya umeme imerejea jijini hapo baada ya mbunge wa nyamagana kutoa hoja ya kulitaka bunge lijadili tatizo hilo la umeme kama jambo la dharura katika kikao cha bunge leo asubuhi. Pamoja na spika kukubali kwamba suwala hilo ni la dharura aliitaka serikali itoe maelezo juu ya issue hiyo japo hakusema ni lini.

Chanzo changu cha habari kutoka Mwanza kinasema umeme umewaka leo kuanzia mida ya saa nane mchana. Swali, je serikali ilikuwa inafanya makusudi na hivyo baada ya kuona haina maelezo ikaamua kurejesha umeme mapema????? Jibu sijui.
 
Nilikuwa Arusha hivi karibuni nikastaajabu ratiba ya mgao wa umeme huko. Kwa muda wa wiki mbili umeme unakatwa saa 1 asubuhi na kuwashwa saa 6 usiku.
Naambiwa sasahivi hali ndo imezidi kuwa mbaya zaidi, hivyo basi watanzania lazima tukubali sasa kufanya maamuzi magumu lakini makini kwa ajili ya mustakabali wetu. Vinginevyo hawa wakubwa wataendelea kujifungia kwenye maofisi yenye vipupwew na kula mishahara pasipo kutekeleza wajibu wao kwa wananchi na taifa kwa ujumla.

Mwetu...
Huko poti vipi tuna afadhali au?
 
walitufanya watoto kwa kudanganya kwa siku kazaa .. lakini kama waliweza kusitisha mgao na sasa wamerudisha kinyemela hadi baadhi ya mikoa kukata kabisa basi wahuni
 
Kama mbunge wako ni wa magamba na bado mnapigwa mgao mkali wa umeme jaribu kumfuatilia ujue yuko upande gani kati ya yale makundi maarufu ndani ya magamba. Nabashiri kwamba atakuwa anaunga mkono upande wa pili ama atakuwa vuguvugu.
Lough of the day umenifurahisha
 
Naanza kwa kukuomba Mkuu INVISIBLE kama inawezekana Thread hii ibaki nje ya ule mjadala tumulike vema macho hapa wadau.

Kama walivyofanya katika Bajeti na kama kawaida yao kutuhadaa kwa Umeme wa muda mfupi na Baadaye kuukata Jumla. Maeneo korofi huko Mwanza ikiwemo Ilemela vilipo vituo vya matangazo ya Radio na TV vya Sahara (Star TV na ndugu zake) Umeme umewaka huko muda si mrefu na hii ni baada ya jana wananchi kupiga kelele zilizopitiliza kupitia Radio na TV.

Meneja wa TANESCO Mwanza alidai kuwa mahitaji yao ni Mega Watt 42 na kuwa sasa wanapata MegaWATT 4 tu ambazo kazigawa katika mahospitali, viwanda na mashine za kusukuma maji. kwa hiyo hana maarifa na hekima zaidi ya hapo. Akizungumza kama nilivyomsikia jana kupitia KISS FM jioni.

Sasa Muda huu naarifiwa kuwa Umeme umewaka katika ujasiriamali uliopo huko Ilemela na maeneo mengine sugu Mwanza, huu ni Mchezo mchafu hasa baada ya kusikia kuwa Jioni Ngeleja anatakiwa kutoa tamko kuhusu hali hii.

My TAKE:

  • Ni kupoza makali ya Hoja ya Wenje kwa kuwahadaa wakazi wa Mwanza
  • Ni kuonyesha kuwa serikali ni sikivu inajali
  • Au ndio tuchukue maamuzi magumu maana hawatendi mpaka washinikizwe
ADIOS

Serikali ilidai imepunguza bei ya mafuta lakini baada ya bajeti ya nishati na madini kupita bei ikawa juu zaidi. Na hili la umeme wa Mwanza ni kupoza hoja ya Wenje, kesho HAKUNA UMEME
 
Nachelea kucomment naweza nikashitakiwa kwa uchochezi bora ninyamaze maana mimi nipo jimbo la mbunge wa chama tawala hali ni mbya ukikatika saa kumi na mbili jioni unarudi saa sita usiku na kukatika asubuhi alfajiri ngoma ni mpaka saa moja magharib.

Ni heri wewe unajua muda fulani utawaka wezako jimbo CDM hatujui utawaka lini labda mwakani.
 
mmewachagua wenyewe ni dsm wanaolalamika umeme lkn asilimia kubwa walimpa jk ni kwingineko walifanya hivyo hivyo kwahiyo ni bora hili tatizo la umeme likaendelea kwani yule fundi wa kuchomelea akikosa hela za kupeleka home huko kijijini wazazi wake watashtuka na kujua kuwa serikali haifai. Kweli Mungu yu mwema naanza kuona mabidiliko kupitia umeme na mafuta. Mungu anazidi kutuonyesha kwani mafuta yalishushwa juzi hata wiki 2 hazijapita yamepandishwa tena

Thanks God kwa kutufumbua macho yetu ahsante sana kwani kupitia matatizo haya tutafumbuka na kujua kuwa aliyotuambia Slaa kuwa kuichagua CCM tunachagua maafa.

Haiwezekani mfuko wa cement uutoe nje uje bongo bei yake iwe rahisi kuliko cement inayozalishwa hapa bongo
Haiwezekani bei ya Gesi iwe ghali zaidi ya mkaa

Haiwezekani sukari ya kuagiza nje iwe rahisi kuliko ya mtibwa
Tumeshindwa tengeneza hata viberiti vya Gesi
Misitu tunayo lkn karatasi tunaagiza toka nje
Mito na ardhi tunayo lkn tunakufa njaa
Namkumbuka Rafiki yangu mjapani aliponiambia kuwa Bonde ambalo mto msimbazi unapita kama ni kwao wangeweza zalisha chakula cha kutosha kuilisha Dar na mikoa ya Jirani lkn anashangaa kwanini sisi linazalisha mbu

Natamani tatizo hili liendelee kutufungua macho kwani yule fundi kinyozi na fundi welding akikosa ajira ndio atajua kwanini Slaa alitabiri maafa

Mungu kweli yu mwema na ahsante sana Mungu kweli wewe ni mwema nakuomba M.Mungu uzidi kutufungua kupitia matatizo mbalimbali kwani ni wewe pekee uwezaye kutuzindua

"Kweli Chama Cha Masaburi chajenga nchi na kuwajali watu wake na ni serikali tulivu kwani wamewanunulia Bajaji wajawazito wakati wao wanajua hali za vijijini kweli wanafikiri kwa masaburi hii bajaji mvua ya kipupwe ikinyeshe kwa ule udongo wa pale kijijini itapita kumuwahisha huyu mjamzito au itamuongezea baridi yabisi na homa"

Wenzetu wanatumia power tiller lkn ardhi yao inakuwa na unyevunyevu sio kama ule udongo wa mfinyanzi ulioko Mlalo, Mlola, Kivingo, Antakae, Ghooka tionge, Lunguza, Mng'aro, Magoma na vijiji vingine Udongo ambao ukikauka unatoa ufa Whhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy??????????????????????????????????????????????????????? they don't think. kweli hivi ni kwellli kweli wanafikiri kwa masaburi au????/

EEEH nafikiri hiki ndio kiapo cha Cha Chama Cha Masaburi(CCM) ndio kwani jamaa katoa shutuma wala hakuwajibushwa kwanini nisiami
"Mimi shemahonge naapa nitautumikia Ubunge wangu kwa Faida ya TUMA langu na matumbo ya familia yangu KAMWE sintotoa siri za jinsi gani nakula mali ya ya umma na NITAKILINDA na kutetea cheo na uheshimiwa wangu kwa hali yeyoteikiwa na nitatumia masaburi yangu kufikiria kwa dhati kabisa EEEH MENO nisaidi"
wanasheria mnaonaje tukibalisha hii kitu

EEh Mungu nakuomba utuzindue zaidi

-
Ahsante Mungu ahsante sana

I hope bibi yangu kule kijijini atakuwa amenielewa kwani hata mafuta ya taa hayanunuliki.
 
Back
Top Bottom