Loooh kapata mfuko mpya pajaani !! atajua kuweka pochi lake !!Auchhhh hilo jipembe limo ndani ya nyama ya paja mhhhhh.....na inaelekea keshaburuzwa sanaaa hapo!!
Itabidi hilo jingombe lichomwe ganzi au litaondoka na mguu wa huyo jamaaa...Loooh kapata mfuko mpya pajaani !! atajua kuweka pochi lake !!
hapo blender (yaani misuli na mfupa wapaja utavurugwa) itafanya kazi 100% na hakuna mguu tena !!Itabidi hilo jingombe lichomwe ganzi au litaondoka na mguu wa huyo jamaaa...
Huu ushujaa mwengine wa kijinga kabisaa shost!hapo blender (yaani misuli na mfupa wapaja utavurugwa) itafanya kazi 100% na hakuna mguu tena !!
wanalipa kiingilio....
Afu, ni kinyume na haki za wanyama...! Hapo akifanya African !! watadai kuwa tumekosa na tunaonea wanyama.!!Huu ushujaa mwengine wa kijinga kabisaa shost!