Mchezaji Zana Coulibaly wa ASEC Mimosas awasili nchini kukamilisha taratibu za kujiunga na Simba SC

Kwani ambapo hatuchukui wachezaji kutoka nje mpira wetu umefika wapi?

Na wachezaji wetu nani amewazuia kutoka nje ya nchi?
Inawezekana ulikua mdogo, Simmba wakati ina cheza nusu fainali ya klabu bingwa afrika haikua na mchezaji kutoka nje,Simba wakati inacheza fainali ya CAF ilikua na mgeni mmoja tu.
 
Usilete habari za akina Mohamed Kajole na Pele hapa..Mpira ni biashara kwa sasa na mambo yake hayarudi nyuma..!

Umeulizwa hapo beki gani? Mbona hujajibu, naijua vizuri historia ya Simba kuliko wewe na hapa JF nishatoa FlashbackSimba

Ukisema mpira wa Tanzania umeshuka kuliko zamani hiyo ni sahihi ni bahati tu kupata akina Samatta imetokea, embu angalia wale wa zamani na sasa

Nimemsikia Mshindo Msola akiwashauri Simba kutafuta beki nje mbadala wa Kapombe kuliko Tanzania na yeye ndo Mwalimu wa mpira.. Haya bishana yeye!
Inawezekana ulikua mdogo, Simmba wakati ina cheza nusu fainali ya klabu bingwa afrika haikua na mchezaji kutoka nje,Simba wakati inacheza fainali ya CAF ilikua na mgeni mmoja tu.
 
Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa. Karibu Unyamani
IMG_20181130_184034.jpeg
 
Back
Top Bottom