Mchezaji wa Yanga SC yupo rumande kwa kumpiga Ngumi Mwandishi wa Habari

Una sauti laini kama Mimi..hahahaha! Mlitudanganya omug anaumwa na okwi mkizuga et waligongana na kumbe okwi alimpiga mibichwa kocha wenu! Mbona sisi hatusema...yaani timu ya simba wote ni wavaa madela maana taarabu mnaiweza tena ya ...,..
 
0b053434ed1b6f98926e7517e485521c.jpg
 
Kuna taarifa kwamba mmoja wa Wachezaji tegemeo kabisa wa Klabu ya Yanga hivi sasa yupo Rumande Kituo cha Polisi kwa kosa la Kumpiga Mwandishi wa Habari kwa kile anachodai kwamba huyo Mwandishi amezidi kumfuata mfuata ( anawashwawashwa ) nae mno hata kwa mambo yake binafsi.

Chanzo cha hii taarifa ni Efm Kipindi chao kizuri cha michezo cha Sports Headquarters muda mfupi tu uliopita katika kile ' Kipengele ' chao pendwa cha ' Chabo Chabo ' na Mtangazaji aliyesema hili anaitwa Oscar Oscar.

Yanga SC vipi mpira sasa umewashinda hadi mnahamia katika Ndondi / Ndonga / Masumbwi / Vitasa / Nakoz?

Nawasilisha.
Hivi Thoma Ulimwengu alipopiga Mwandishi wa Habari kule Shinyanga hadi akapelekwa Mahakamani kumbe ilikuwa issue ya TIMU YA SIMBA???????
ukiwa mnazi/muongomuongo Usisahau njia ya kurudia
 
Mbona yupo tu hapo Kituo cha Polisi cha jirani na Wewe ulipo Mkuu? Nenda kamsabahi / kamsalimie basi na umpe pole kwa niaba yetu Sisi wanamichezo hasa wana Simba SC ambao ni wastaarabu. Ni aghalabu / nadra sana kumkuta Mchezaji wa Simba SC anafanya vitendo vya aibu namna hii. au labda yawezekana kwakuwa Wachezaji wa Simba SC wanalipwa ' Mamilioni ' ya Pesa hivyo hawana muda wa ' hovyo hovyo ' wa kufanya Fujo, Vurugu na Kugombe Vikombe vya Chai na Chapati kama wa Yanga SC.
Kumbukumbu ni kitu kizuri saana, MWINYI KAZIMOTO alimpiga mwandishi wa habari kule SHINYANGA tena mwandishi wa habari wa jinsia ya KIKE.

Kesi iliunguruma mpaka mahakamani!
 
Funguka na walishtakiwa wapi au walilala selo gani? Abdi, Masawe, Manara na Michael Paul wote walikua na kesi za wizi wa magari, Mambosasa aliiba godoro la guest, Kazimoto alipiga Mwandishi na Kaniki amefungwa kwa kubeba unga! Hamna mpya
Umemsahau yule mhaini.....alifungwa miaka kadhaa kwa kutaka kumpindua Nyerere miaka ileeeee!
WAFUNGWA FC!
 
Paragraph ya mwisho sijaelewa unapohoji yanga vp mpira umewashinda mnahamia ktk ndondi umeambiwa amepigwa na timu nzima ya yanga au mchezaji mmoja? naona unawashwa wwe si bure
 
Mbona yupo tu hapo Kituo cha Polisi cha jirani na Wewe ulipo Mkuu? Nenda kamsabahi / kamsalimie basi na umpe pole kwa niaba yetu Sisi wanamichezo hasa wana Simba SC ambao ni wastaarabu. Ni aghalabu / nadra sana kumkuta Mchezaji wa Simba SC anafanya vitendo vya aibu namna hii. au labda yawezekana kwakuwa Wachezaji wa Simba SC wanalipwa ' Mamilioni ' ya Pesa hivyo hawana muda wa ' hovyo hovyo ' wa kufanya Fujo, Vurugu na Kugombe Vikombe vya Chai na Chapati kama wa Yanga SC.
d2314c1ac70d075a0f0e517e2e7c4b25.jpg
 
Nahisi ilo km ni kweli ni tatizo la mtu binafsi na sio Yanga mpira kuwashinda. Rooney alipohusishwa na changudoa hawakusema Everton mpira umewashinda wamekuwa malaya.
Nidhamu ya timu inapimwa kwa mchezaji mmoja mmoja
 
Mbona yupo tu hapo Kituo cha Polisi cha jirani na Wewe ulipo Mkuu? Nenda kamsabahi / kamsalimie basi na umpe pole kwa niaba yetu Sisi wanamichezo hasa wana Simba SC ambao ni wastaarabu. Ni aghalabu / nadra sana kumkuta Mchezaji wa Simba SC anafanya vitendo vya aibu namna hii. au labda yawezekana kwakuwa Wachezaji wa Simba SC wanalipwa ' Mamilioni ' ya Pesa hivyo hawana muda wa ' hovyo hovyo ' wa kufanya Fujo, Vurugu na Kugombe Vikombe vya Chai na Chapati kama wa Yanga SC.

Hebu tupeni sababu kwanini mna kaimu rais na makamu
 
Back
Top Bottom