Mchezaji wa Yanga na timu ya Taifa Kelvin Yondani anastahili adhabu kwa kumtemea mate mchezaji wa Simba

kijanamdogo

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
231
176
Hakika nimeshangazwa na kitendo cha kihuni na kisicho cha kistarabu lea mchezahi wenye umri mkubwa, mchezaji wa timu ya Taifa na Klabu kubwa nchini Yanga Kelvin Yondani kumtemea mate mchezaji wa Klabu ya Simba juzi uwanja wa Taifa.

Naziomba mamlaka husika TFF na bodi ya ligi mumwadhibu mchezaji huyo kwani ameonyesha utovu wa nidhamu uwanjani ukizingatia ni mchezaji wa Timu ya Taifa anayestahili kuwa mioo cha jamii.
 
Nilijisikia vibaya sana, tena co mate Yale in MAKOHOZI,apewe adhabu Kali tu hakuna namna
 
Hakika nimeshangazwa na kitendo cha kihuni na kisicho cha kistarabu lea MCHEZAJI wenye umri mkubwa, MCHEZAJI WA timu ya Taifa na Klabu kubwa nchini YANGA KELVIN Yondani kumtemea mate MCHEZAJI wa Klabu ya Simba juzi uwanja wa Taifa.Naziomba Mamlaka husika TFF na Bodi ya Ligi Kumwadhibu MCHEZAJI huyo kwani ameonyesha utovu wa nidhamu Uwanjani ukizingatia ni MCHEZAJI WA Timu ya Taifa anayestahili kuwa Kioo cha Jamii.
Hapa si jukwaa la michezo.
Ila una hoja. Yondani ameonyesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu sana. Hivi yeye hakuwa kapteni wa Yanga siku ile? Anastahili adhabu kali sana.
 
Halafu ndio aina ya machezaji mnategemea kuyapeleka sijui wapi huko kulitetea taifa! Majitu mengine sijui huwa yanaokotwaga wapi. Hilo ni la kufungia maisha kwenye mashindano yoyote yanayoandaliwa na TFF. Akitaka akacheze Somalia; jinga kabisa.
 
Kwani yondani ni kiongozi wa chamagani? Cha wavutabangi au?Msichanganye jukwaa letu la siasa na mambo ya kijinga...kajadilini hko fesibuku
 
Ulimuona? Hebu weka ushahidi! Halafu hili ni jukwaa la siasa! Nashangaa kuona uzi wa spoti hapa!
 
Hakika nimeshangazwa na kitendo cha kihuni na kisicho cha kistarabu lea MCHEZAJI wenye umri mkubwa, MCHEZAJI WA timu ya Taifa na Klabu kubwa nchini YANGA KELVIN Yondani kumtemea mate MCHEZAJI wa Klabu ya Simba juzi uwanja wa Taifa.Naziomba Mamlaka husika TFF na Bodi ya Ligi Kumwadhibu MCHEZAJI huyo kwani ameonyesha utovu wa nidhamu Uwanjani ukizingatia ni MCHEZAJI WA Timu ya Taifa anayestahili kuwa Kioo cha Jamii.
Yaani lile li Yondani ni jichezaji la kishamba sana. Linakula bangi lile!. Yeye na Juma Nyosso huwa hawaingiagi uwanjani bila kuonja bange. Sasa atachezea kifuno mechi 10, na faini mililoni 2. Ataikosti klabu yake
 
Back
Top Bottom