Mchezaji wa Nigeria Kuchapwa Bakora 40 Kwa Kunywa Pombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchezaji wa Nigeria Kuchapwa Bakora 40 Kwa Kunywa Pombe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babuji, Nov 14, 2009.

 1. B

  Babuji Senior Member

  #1
  Nov 14, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchezaji wa kimataifa wa Nigeria anayesakata kabumbu nchini Sudan amehukumiwa kuchapwa bakora 40 pamoja na kulipa faini baada ya kukamatwa akiwa amelewa pombe.
  Stephen Worgu, mchezaji chipukizi anayewika wa timu ya taifa ya vijana ya Nigeria ambaye anaichezea timu ya Al-Merreikh ya Sudan amehukumiwa kuchapwa bakora 40 kwa kunywa pombe.

  Worgu mwenye umri wa miaka 20 alipatikana na hatia ya kunywa pombe na kuendesha gari akiwa amelewa.

  Mahakama ya jijini Khartoum iliamuru Worgu acharazwe bakora 40 kwa kunywa pombe na pia iliamuru alipe faini sawa na Tsh. laki moja kwa kuendesha gari akiwa amelewa pombe.

  Worgu, aliingia mkataba wa kuichezea timu ya Al-Merreikh mwaka 2008 na amekuwa akiichezea timu ya taifa ya Nigeria ya vijana wa chini ya umri wa miaka 20.


  Source: http://www.nifahamishe.com
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  ndo maana huwa nasema nchi yoyote ya kigaidi siwezi kuishi, mtu kajinywea laga zake alafu eti kwa kuwa wewe ni al shabab hunywi unachapa bakora.....mwe!!!
   
 3. G

  Genda Member

  #3
  Nov 14, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na kuna habari hii kutoka Uganda:

  KAMPALA, Uganda – A Ugandan government official says the bodies of those who die because of drinking a local illicit gin should be caned six times before burial as an example to the living.

  Edwin Komakech spoke Saturday at a security meeting in the Amuru district about 217 miles (350 kilometers) north of Uganda's capital.

  Some who make the local gin, called waragi, have begun distilling it with poisonous methanol. Last week, police said they would launch an investigation into the making of the illicit waragi.

  Over 50 people have died in the last two months in Uganda from drinking the poisonous gin.

  In Uganda, the bodies of those who commit suicide are also caned as a form of dishonor and to warn against such behavior for the living.
   
Loading...