Mchezaji wa kwanza kuvunja mwiko wa Simba na Yanga

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
Wakuu kuna habari eti kuwa miaka ya nyuma sana wachezaji wa Simba na Yanga walikuwa wakichezea timu zao kwa mapenzi ya moyo kabisa siyo kama kazi. Kutokana na mapenzi hayo, walikuwa hawahami kutoka timu moja kwenda nyingine.
Mchezaji aliyevunja mwiko huo ni Ezekiel Grayson aliyehama toka Yanga kwenda Simba. Hivi ni kweli?
 
Nasikia wachezaji walio na kiwango cha juu huwa wanatoka Simba kwenda Yanga mfano Yondani na wale walioshuka kiwango ndo wanatoka Yanga kwenda Simba mfano Kiemba, labda jamaa naye aliisha kiwango wakamruhusu kuvunja mwiko.
 
Cha ajabu Yanga ndio inayoshika rekodi ya kupokea vipigo vikubwa zinapokutana timu hizi, 6-0, 5-0, 4-1, 4-1, 5-0
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom