Mchezaji wa kulipwa mpira wa Kikapu Curry Steph aitembelea hifadhi Serengeti

Mkuu sisi Watu wa basketball tunasikitika Kwa hili, Maana HT needs to get his grip on, SERIOUSLY..na hii biashara ya kugombana na watu sijui nini he should just leave that nonsense..... he needs to lay low and put some energy in what he is suppose to be doing...... He should leave the flashy kind of life to people who are already doing well in that area..... He needs to grow up both mentally and spiritually na aanze kuangalia maisha mbele na sio kuangalia only where his nose ends...... Aweke jitihada zaidi........
Vp !nmesikia thabeet kasajiliwa Don Boscombe
Kuna ukweli hapo

Ova
 
Wakuu Mcheza Kikapu Steph Curry anaekipiga GSW Yuko Tanzania Yeye na Mkewake.

Curry yupo na familia yake kwenye ardhi ya Tanzania katika hifadhi ya Serengeti.

Curry amekuja mapumzikoni pamoja na kusheherekea miaka 10 ya ndoa yake na mpenzi wake aitwae Ayesha.

Nasikitika Kwa Hashim Thabeet Kwa Sasa Alipo, Wakati Curry na Hashim wanatoka College Kwenye NBA, Hashim Alikuwa Namba 2 Kwa ubora kumzidi Curry, Sjui Ni Nini Kilimkuta Hashim Mpaka Akawa Hivi.​

View attachment 1879375
Safi...
Ni vacation tu..ama ana projects nyingine atakazofanya .?
Kuna kipindi alikuja chini ya Mradi wa Umoja wa Mataifa..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Mcheza Kikapu Steph Curry anaekipiga GSW Yuko Tanzania Yeye na Mkewake.

Curry yupo na familia yake kwenye ardhi ya Tanzania katika hifadhi ya Serengeti.

Curry amekuja mapumzikoni pamoja na kusheherekea miaka 10 ya ndoa yake na mpenzi wake aitwae Ayesha.

Nasikitika Kwa Hashim Thabeet Kwa Sasa Alipo, Wakati Curry na Hashim wanatoka College Kwenye NBA, Hashim Alikuwa Namba 2 Kwa ubora kumzidi Curry, Sjui Ni Nini Kilimkuta Hashim Mpaka Akawa Hivi.​

View attachment 1879375
Hash..... Lack of seriousness and dreaming that he has achieved all while in reality he was starting his way up.
 
Mbona mfupi?
Wakuu Mcheza Kikapu Steph Curry anaekipiga GSW Yuko Tanzania Yeye na Mkewake.

Curry yupo na familia yake kwenye ardhi ya Tanzania katika hifadhi ya Serengeti.

Curry amekuja mapumzikoni pamoja na kusheherekea miaka 10 ya ndoa yake na mpenzi wake aitwae Ayesha.

Nasikitika Kwa Hashim Thabeet Kwa Sasa Alipo, Wakati Curry na Hashim wanatoka College Kwenye NBA, Hashim Alikuwa Namba 2 Kwa ubora kumzidi Curry, Sjui Ni Nini Kilimkuta Hashim Mpaka Akawa Hivi.​

View attachment 1879375
 
KI- mke chake ni kibantu hiki? mbona pua pana km pipe ya Meli? au nakosea jamani? siku a kiachwa atalia heee!
 
Back
Top Bottom