Mchezaji wa Azam afia guest sinza!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
929
Mwanaume mmoja anayekadiliwa kuwa na umri kati ya 20-25 amekutwa amekufa ndani ya nyumba ya kulala wageni(guest)maeneo ya sinza,baada ya kumpekua alikutwa na pasi ya kusafiria ya Nigeria na akiwa na invitation ya club ya Azam.Kwa mujibu wa kamanda Kenyera maiti ya msukuma ndinga huyo imeifadhia hospital ya mwananyamala.
Maofisa wa club ya Azam hawakupatikana kuongelea hilo.
Ulikuja kutafuta maisha tz but M/mungu ameichukua hazina yake ukiwa tz.
RIP kamanda.
 
Mungu amuweke amuweke mahala pema huko Mbinguni.
 
Wapunguze kutumia busta za nguvu za kiume....zinasababisha konkashen....

rip
 
Dah? Yanga watakuwa wamempiga misumari tu Mnaijeria wa Azam, sio mbaya lakini, thats the best they could deliver.
Viva la AFC!
 
hiyo passport haikua na jina zaidi ya nationality yake?? anyway RIP mchezaji
 
Duh, yaani kukutwa na invitation ya Azam tayari ni mchezaji wa Azam?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom