Mchezaji mpira wa kulpwa wa uganda akamtwa na kilo 5 na nusu ya bangi aiportistanbul ataturk aiport | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchezaji mpira wa kulpwa wa uganda akamtwa na kilo 5 na nusu ya bangi aiportistanbul ataturk aiport

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Sep 8, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]  [​IMG]
  Socks were cannabis
  Kayseri Erciyessporlu football player, was caught at Istanbul Ataturk Airport on the drug substance.
  According to information received, from Kenya and flown to Istanbul Ataturk Airport Domestic Terminal to go to Kayseri, Kayseri Erciyesspor'un Ugandan Footballer of the Mawanda Wasswa'nın Hassan, security control during the transition swollen left foot was found.

  Security officials handed 5.5 grams of cannabis found in his search Wasswa'nın socks. Detained and taken to the airport police station said that the Ugandan football player was learned in the first query drinker. Football, was referred to the prosecutor's office.

  SOURCE: zerinde esrarla yakaland - Hrriyet Futbol

  Huenda akafungwa miaka 3 au akalipishwa faini ya pesa. Kazi kweli ipo hata wachezaji mpira kumbe ni Wauza madawa ya kulevya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kilo tano za bangi? Duhu! Alafu Google translation inafanya hiyo atiko ionekane kama imeandikwa na mvuta bangi!
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  mkuu ni vitu vya kawaida tu kitu kinachonishangaza kuwa huyu ni mcheza mpira wa kulipwa na hapo Turkey wanamlipa pesa nzuri tu Euro lakini bado ana njaa ya kuuza madawa ya kulevya?
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Is it 5000 grams of 5.5 grams?

  Wakuu hizo 5 bricks mmezitowa wapi?
   
Loading...