Mchezaji Mamadou Sakho na Mkewe watinga Bunge la JMT, Dodoma

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
NYOTA wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho na Mkewe Majda Sakho wamewasili Bungeni kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali za Kibunge. Mamadou Sakho ni Balozi wa Hiari Utalii Tanzania.

Sakho Bungeni.png
 
Hv kwann ndugu yetu Sama Goal, hapewi heshima kama hii na yeye anatuwakilisha vyema huko ughaibuni???
 
Back
Top Bottom